Idea zipo mtaji hakuna hii inauma

Jamaa chopa moting amenipa madini aina ya fedha, haya madini kila nikiya minimize naona pesa tu ngoja kwanza nikayachimbe nitawaretea mrejesho wakuu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Piga kaz mazee life isnt easy....its tough hasa kwa nchi zetu za africa ni ngumu kutoka.
 
Mkuu cyo wabongo labda ufanye na kina kanjibayi
 
Mtu akikupa mtaji wa 10m utafanya nini kipindi hiki?
 
Kiongozi mimi ni mmoja wapo ninaetafuta watu wenye mawazo na tamaa za kujikwamua katika hali tuliyonayo , kama kweli umeamua tukutane tujue tunaanza vipi +255 653 231 798
 
Kiongozi mimi ni mmoja wapo ninaetafuta watu wenye mawazo na tamaa za kujikwamua katika hali tuliyonayo , kama kweli umeamua tukutane tujue tunaanza vipi +255 653 231 798
Nitakucheki mkuu
 
MUSA akiwa na wana wa Isaraeli aliulizwa na Mungu una nini MUSA?

MUSA akajibu nina fimbo, hivyo MUSA alikuwa na fimbo tu.

You have nailed it. Most of the time is not an idea that matters,but the ability to execute the idea.
 
Asante je kwa watu watano ni sawa na M 2.5 inaweza tosha kwenye kilimo
Ina tegemea una taka kufanya kilimo eneo gani... Hiyo hela ina weza ikawa ndogo pia ina weza ikawa nyingi cha muhimu ktk biashara kitu cha kwanza kuangalia n location ya eneo lako.. Sasa kama kutoka shambani hadi kwenye chanzo cha maji tufanye n kilometa mbili au moja.. Hapo ina maana lzm ununue pampu yenye uwezo wa kusukuma hayo maji kwa umbari huo.. Lzm ununue mipira ya umbari huo mafuta lazima yaende sana... Sasa hzo zote n gharama ambazo ukilinganisha na mtu anaye lima karibu na chanzo cha maji atatumia gharama ndogo.. Mbili shamba lilipo kutoka stendi kuu n umbari gani kwa nn nasema hv maeneo mengi ya mashambani hakuna maduka ya pembejeo so lzm kuna mda utakuwa una kuja mjini kuchukua pembejeo sasa kutoka stenidi ya huko shambani mpaka shambani napo utatumia usafiri km n ndivyo gharama hizi na yule ambaye shamba lake lipo karb na stendi ya huko mjini itakuwa sawa... Machache n hayo 2.5M kwangu ina weza kuwa kubwa au pia ina weza kuwa ndogo ina tegemea wapi una wekeza mradi wako
 
Haba na haba hujaza kibaba, anza na kidogo ulicho nacho mkuu.Mtaji huwa hautoshi.Ukiipata M5 utaona haitoshi kufanikisha idea ulizo nazo.
 
Upo wap mkuu nahtaji watu kama ww ila hyo lak tano na ww uwe nayo usianze story za halima na uledi
 
Dogo anza na kidogo ulichonacho


Nyinyi ndo vijana mnaowaza kuanza na project za kwenda dubai wakat hata kariakoo hupajui

Mtaji ni hela yoyote ulienae

Anza wewe kama wewe usitegemee watu mjiunge,

Kazi ya vikundi inahasara maana kila mmoja ana akili zake na mtazamo wake

Vijana mnakosa kitu kinachoitwa UTHUBUTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…