Yep! Collateral damageShe is a victim of wrong place at the wrong time
this is the era of fake news my frined...mimi since morning nimekuwa nikitazama habari kila upande NTV, KTN Citizen na sijaona habari hizo...sasa sijui wewe umetoa wapi? anyway, sina haja ya kujibishana ama kujadili swala hili...the truth will come out eventually...
inaweza kuwaConspiracy
"People who failed to achieve something in life think social media is a popularity contest to score cheap points." ~ Mzilikazi wa Afrika
b
okay, then what about the car that was found in Roysambu? explain to me why a senior ICT official was doing near a plot (nyumba za kupangisha) ..yaani Roysambu si mahali pa matajiri sana sasa sijui jamaa alikuwa anafanya nini kule?
She is a victim of wrong place at the wrong time
Correct your post Mr, his hands were not cut off. The post mortem, plus pictures of the body in the bush are clear proof.Vp kuhusu kukatwa mkono , mbona husemi hapo mkuu
Mauaji wanalijua hilo ndo mana wakampeleka huko!!!Kitongoji anapoishi Caro Ngumbu- Gachie Kiambu kinasifika kwa matukio ya ujambazi.
Gachie ipo nje kidogo ya jiji la Nairobi.