Kuitwaa tena! Kwani waliipoteza?Mnamo 2005, Israeli ilijiondoaUkanda wa Gaza na kuvunja makazi yote 21 ya Israeli huko. Kama sehemu ya mchakato huu, makazi manne ya Waisraeli katika Ukingo wa Magharibi yalivunjwa pia. Kuondolewa huko kulitekelezwa kwa upande mmoja na Israel na bila uratibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina (PNA).
Israel ilitarajia kuwa imeikabidhi Gaza kwenye mikono salama kumbe shukrani yao ilikuwa mauaji ya Oct 07,2023 na ndiyo maana sasa hivi IDF inajiandaa kwa shambulizi la kuirudisha tena Gaza nyumbani !!!
Wakamalize mzizi wa ugaidi once and for all.Mnamo 2005, Israeli ilijiondoaUkanda wa Gaza na kuvunja makazi yote 21 ya Israeli huko. Kama sehemu ya mchakato huu, makazi manne ya Waisraeli katika Ukingo wa Magharibi yalivunjwa pia. Kuondolewa huko kulitekelezwa kwa upande mmoja na Israel na bila uratibu na Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina (PNA).
Israel ilitarajia kuwa imeikabidhi Gaza kwenye mikono salama kumbe shukrani yao ilikuwa mauaji ya Oct 07,2023 na ndiyo maana sasa hivi IDF inajiandaa kwa shambulizi la kuirudisha tena Gaza nyumbani !!!
Nadhani hiyo km2 alimaanidha sq. km sema ni kwa vile kuweka 2 kama superscript imekuwa ngumu kwake.Ndivyo mnavyodanganyana na Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa Gaza Ina u kubwa wa KM-2?
Kwa taarifa yako tu Ukanda wa Gaza, lina maili za mraba 140 (kilomita za mraba 363)
Mimi ni mkatoliki 100% na ni pro Jews and Israel usininasibishe na majini.Ndivyo mnavyodanganyana na Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa Gaza Ina u kubwa wa KM-2?
Kwa taarifa yako tu Ukanda wa Gaza, lina maili za mraba 140 (kilomita za mraba 363)
KWAHIYO TUWAPENI MITANO TENA KUITEKA GAZA NA ASKARI HAWA HAWA WANAOKIMBIA KWA WAKULAZIMISHWA KWENDA UWANJA WA MAPAMBANO!Ndivyo mnavyodanganyana na Wafuga Midevu na Majini wenzako kuwa Gaza Ina u kubwa wa KM-2?
Kwa taarifa yako tu Ukanda wa Gaza, lina maili za mraba 140 (kilomita za mraba 363)
Wamekataa kuhamishwa hamishwa Sasa wanasema eidha kifo Cha njaa au ushahidi wa Moja Kwa moja peponi keep fighting for this temporary life oh cursed jew
...................
Under the slogan: “O Allah, no displacement except to Paradise”
The people of Gaza City officially declare their refusal to be displaced again from the northern part of the Strip to its south, affirming that they will not leave their homes except as martyrs to Paradise, even if the
e is hunger or martyrdom.
Endeleeni tu kujitoa ufahamu???KWAHIYO TUWAPENI MITANO TENA KUITEKA GAZA NA ASKARI HAWA HAWA WANAOKIMBIA KWA WAKULAZIMISHWA KWENDA UWANJA WA MAPAMBANO!
HAPANA KWAKWELI...