son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Kundi la Hezbollah leo wamerusha makombola 50 na drones 2 kaskazini mwa Israel ikiwa kama ukaribisho wa kiongozi wao mpya aliyetambulishwa leo.
IDF wamesema wanachunguza kwanini mifumo ya anga ilifeli.
IDF wamesema wanachunguza kwanini mifumo ya anga ilifeli.