son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Propaganda za kinafiki za kobaziKundi la Hezbollah leo wamerusha makombola 50 na drones 2 kaskazini mwa Israel ikiwa kama ukaribisho wa kiongozi wao mpya aliyetambulishwa leo.
IDF wamesema wanachunguza kwanini mifumo ya anga ilifeli.
Watu wanajitungia ....Propaganda za kinafiki za kobazi
Duh. Kiongozi wao aliyekuwepo kwani amestaafu?kama ukaribisho wa kiongozi wao mpya aliyetambulishwa leo
Haya makiti ndiko waarabu wanakopigwa mabillion kitu cha milion 300 wao wanakiuza kwa 1b na sifa kem kem za uongoWatachunguza sana. Hii yote imefeli:
Air-defense systems
- Machbet self-propelled anti-aircraft weapon.
- Barak 1 naval surface-to-air missile.
- Barak 8 naval surface-to-air missile.
- SPYDER air-defense system.
- Arrow anti-ballistic missile.
- Tactical High Energy Laser.
- Iron Dome short-range rocket defense system.
- David's Sling medium-range rocket defense system.
Na mpaka sasa wameleta THAAD, nayo imedondokea pua.
MUda unavyozidi kwenda udhaifu na uongo wa wazayuni unazidi kujulikanaPropaganda za kinafiki za kobazi
Unafikiri Wamerekani wana bidhaa ipi ya kuuza zaidi a vita?Haya makiti ndiko waarabu wanakopigwa mabillion kitu cha milion 300 wao wanakiuza kwa 1b na sifa kem kem za uongo
Mtego subiri kesho jioniIDF wamesema wanachunguza kwanini mifumo ya anga ilifeli.
Hahaha hawa watu wao huwa hawafi, balaa jingine. Kwanini wasijaribu nuclear labda wanaweza kufa idadi kubwa kidogo.Makombora mengi bado yanaendelea kuzuiwa na iron dome, hio thaad ya wamarekani waiboreshe
hakuna muisrael yeyote aliepoteza maisha
View attachment 3138727