IDF yaagiza wakazi kwenye vijiji na miji 25 Lebanon ya Kusini kuhama makazi yao mara moja kwa usalama wa familia zao

IDF yaagiza wakazi kwenye vijiji na miji 25 Lebanon ya Kusini kuhama makazi yao mara moja kwa usalama wa familia zao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

IDF inaendelea na operesheni kubwa ya kijeshi nchini Lebanon

Imeagiza wakazi kwenye vijiji na miji 25 huko Kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao kulinda Usalama wao.

Magaidi ya Hezbollah mengi yamejificha maeneo hayo hivyo IDF inataka kuyashughulikia lakini pia haipendi kuua raia wasio na hatia.

Agizo hilo zito la IDF linahusu pia jiji kubwa zaidi huko Lebanon ya kusini la Nabatieh

Mungu ibariki Israel

-----

IDF calls on civilians in 25 locales in south Lebanon, including city of Nabatieh, to evacuate immediately

By Emanuel Fabian

The IDF is calling on Lebanese civilians in 25 locales in southern Lebanon to evacuate immediately.

Among the list of cities, towns, and villages is Nabatieh, one of the largest cities in southern Lebanon. Nabatieh and several other villages on the list are north of the Litani River.

“Hezbollah’s activity forces the IDF to act against it. The IDF does not wish to harm you,” Col. Avichay Adraee, the IDF’s Arabic-language spokesman, says in a statement on X.

“For your safety, you must evacuate your homes immediately. Anyone who is near Hezbollah operatives, their facilities or their weapons, puts themselves at risk,” he says.

#عاجل ‼️ تحذير عاجل لسكان القرى التالية في جنوب لبنان: الخرايب, ارزي, زرارية, عدلون, أنصارية, مزرعة دير تقلا, مزرعة الواسطة, مزرعة جمجم, قصيبه, جبشيت, نبطية, مزرعة سيناي, دوير الشرقية, كفر رمان, نبطية الفوقا, منزلة, ,حبوش ,الحمصية, بيصرية, السكسكية, لوبية, كفر تبنيت, أرنون, زوطر… pic.twitter.com/bcENOdWKN1

— افيخاي ادرعي (@AvichayAdraee) October 3, 2024

Adraee says that any house used by Hezbollah for military purposes is a target.

The Lebanese civilians are called to evacuate and head north. “Attention, do not move south! Any movement south could endanger your life,” the statement says.

The IDF says it will update the civilians when they can return.

Yesterday, the IDF issued similar orders to 24 other villages in southern Lebanon, and the day before that, it warned a further 28.
 
Wadau hamjamboni nyote?

IDF inaendelea na operesheni kubwa ya kijeshi nchini Lebanon

Imeagiza wakazi kwenye vijiji na miji 25 huko Kusini mwa Lebanon kuondoka kwenye makazi yao kulinda Usalama wao.

Magaidi ya Hezbollah mengi yamejificha maeneo hayo hivyo IDF inataka kuyashughulikia lakini pia haipendi kuua raia wasio na hatia.

Agizo hilo zito la IDF linahusu pia jiji kubwa zaidi huko Lebanon ya kusini la Nabatieh

Mungu ibariki Israel

-----

IDF calls on civilians in 25 locales in south Lebanon, including city of Nabatieh, to evacuate immediately

By Emanuel Fabian

The IDF is calling on Lebanese civilians in 25 locales in southern Lebanon to evacuate immediately.

Among the list of cities, towns, and villages is Nabatieh, one of the largest cities in southern Lebanon. Nabatieh and several other villages on the list are north of the Litani River.

“Hezbollah’s activity forces the IDF to act against it. The IDF does not wish to harm you,” Col. Avichay Adraee, the IDF’s Arabic-language spokesman, says in a statement on X.

“For your safety, you must evacuate your homes immediately. Anyone who is near Hezbollah operatives, their facilities or their weapons, puts themselves at risk,” he says.

#عاجل [emoji845] تحذير عاجل لسكان القرى التالية في جنوب لبنان: الخرايب, ارزي, زرارية, عدلون, أنصارية, مزرعة دير تقلا, مزرعة الواسطة, مزرعة جمجم, قصيبه, جبشيت, نبطية, مزرعة سيناي, دوير الشرقية, كفر رمان, نبطية الفوقا, منزلة, ,حبوش ,الحمصية, بيصرية, السكسكية, لوبية, كفر تبنيت, أرنون, زوطر… pic.twitter.com/bcENOdWKN1

— افيخاي ادرعي (@AvichayAdraee) October 3, 2024

Adraee says that any house used by Hezbollah for military purposes is a target.

The Lebanese civilians are called to evacuate and head north. “Attention, do not move south! Any movement south could endanger your life,” the statement says.

The IDF says it will update the civilians when they can return.

Yesterday, the IDF issued similar orders to 24 other villages in southern Lebanon, and the day before that, it warned a further 28.
Hezbollah imekatwa kichwa imebaki kiwili wili ndio israel inakimalizia
 
Ndio maana halisi ya jeshi lenye nidhamu na lenye kujali uhai wa raia .

Hongereni sana IDF Dunia Iko nyuma yenu.
Silaha zenu zimeanza kutekwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20241003-182907.png
    Screenshot_20241003-182907.png
    686 KB · Views: 4
Kikishatekwa watakitumia wapi wakati wanatokea mashimoni na anga lote ndege za IDF zinatanda tu

Juzi wamekufa IDF 8 uzuri ni kwamba magaidi karibu 20 waliohusika na hilo shambulizi wote walikufa kwa drone.
Nondo 5 za Nyuklia zimeelekezwa kwa magaidi wa Israel.
 
Kikishatekwa watakitumia wapi wakati wanatokea mashimoni na anga lote ndege za IDF zinatanda tu

Juzi wamekufa IDF 8 uzuri ni kwamba magaidi karibu 20 waliohusika na hilo shambulizi wote walikufa kwa drone.
Mpaka sasa Israel kila akijaribu kusonga mbele ana kutana na mapigo na kurudishwa nyuma.
 
Sasa kuna kitu naanza kuwaza nahisi hawa Iran na Yahud wanawasiliana vizuri kweli kwa mpango wa nyuma kama kuna mtu ataelewa nilichoelewa atamalizia ila mimi wa huku mwanagati na matrai yangu ya mayai nishaelewa kitu
 
Operation safisha magaidi imeanza rasmi Lebanon.
Israel ametoa onyo raia waondoke mapema kabisa ili kuepuka lawama kwamba inaua wanawake na watoto
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la IDF itafanya operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya magaidi ya Hezbollah huko kwenye bahari ya kusini mwa Lebanon muda wowote kuanzia sasa.

Hivyo raia wa Lebanon wanaopenda kutembelea maeneo ya baharini au kwenye fukwe zake na pia wale wanaotumia boti kwa shughuli za uvuvi waache mara moja kwa Usalama wao hadi hapo watakapotaarifiwa vinginevyo

Mungu bariki Wana wa Yakobo

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---

IDF warns Lebanese civilians to stay away from sea, beaches in southern Lebanon
The IDF warns Lebanese civilians against entering the sea or being on the beach in southern Lebanon, as Israel continues its offensive against Hezbollah.

Col. Avichay Adraee, the IDF’s Arabic-language spokesman, issues an “urgent warning” to people on vacation, beachgoers, and anyone using boats for fishing or other uses from the Awali River — located north of Sidon — southward.

He says the Israeli Navy will soon begin to operate against Hezbollah in the area.

“For your safety, refrain from being at the sea or on the beach from now until further notice. Being on the beach, and boat movements in the area of the Awali River line to the south, poses a threat to your life,” Adraee adds.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Jeshi la IDF itafanya operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya magaidi ya Hezbollah huko kwenye bahari ya kusini mwa Lebanon muda wowote kuanzia sasae beach, and boat movements in the area of the Awali River line to the south, poses a threat to your life,” Adraee adds.
Hao jeshi lao kazi yake ni kuuwa raia wasio na hattia. Wao wanabamizwa Israel huko leo, hasira zao wanakwenda kuuwa watoto na kina mama wanaoenda beach kuliaga joto.
 
Aya wachambuzi wa masuala ya kivita kutokea mapelele, juhudi, ilolo, isanga, kagera, sinde, isengo, makondeko, airport, maendeleo, ivumwe, ituha, itezi, isyesye, kabwe na mwanjelwa mnakaribishwa huku
 
Hao jeshi lao kazi yake ni kuuwa raia wasio na hattia. Wao wanabamizwa Israel huko leo, hasira zao wanakwenda kuuwa watoto na kina mama wanaoenda beach kuliaga joto.
Hizo ngonjera zenu za wanawake na watoto hakuna anayezisikiliza. Ungekuwa wa msaada iwapo ungewashauri hao ndugu zako waache kuichokoza Israel.
 
Hao jeshi lao kazi yake ni kuuwa raia wasio na hattia. Wao wanabamizwa Israel huko leo, hasira zao wanakwenda kuuwa watoto na kina mama wanaoenda beach kuliaga joto.
Ni waungwana sana huoni wanawatonya kabisa raia waondoke kwa usalama wao lakini shida ni hao magaidi wenu wanaowatumia raia kama ngao huku wakikimbia vita.
 
Ni waungwana sana huoni wanawatonya kabisa raia waondoke kwa usalama wao lakini shida ni hao magaidi wenu wanaowatumia raia kama ngao huku wakikimbia vita.
Hapo ndipo wanapotakiwa waingie. Kwa ushoga wao wanaona ndiyo wameshinda.

Wameshajisahahu wa;livyobamizwa na mabasha zao huko Afghanista. Waliwacjiwa miji na majiji yote wakalie wao, kiulaini kabisa.

Walipokwisha zoea na kujioa wamefika wakaanzishiwa aina ya vota amabayo hawajawahi kuiona na hawatoisahau maisha yao yote.

Inaitwa "war of attrition".

Naona mashoga zao nao wamejiingiza wenyewe cha kike. Wepesi sana kusahau. Wamesahau 1982 walifanywa nini hapo Beirut?

Sijui ulikuqa wapi wakati huo kijana. Rudia historia au tuulize tuliokuwepo. Alhamdulillah.
 
Back
Top Bottom