IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel

Damu ya Yesu ni ukombozi... majini yenu yanalipuka yakiisikia....


Biblia inasema hivi,

"Yesu alipokuwa akiishi duniani, alitoa dua na maombi kwa kilio kikuu na machozi kwa Mungu ambaye angeweza kumwokoa na kumtoa katika kifo, naye Mungu alimsikia kwa sababu alikuwa mnyenyekevu na mtiifu" (Waebrania 5:7)

Bible inatuambia kila aliyetundikwa msalabani amelaaniwa na mungu.
Katika kumbukumbu la Torati 21:23, Mungu anamwambia Musa kwamba mtu " aliyetundikwa katika mti amelaaniwa na Mungu".

MSIKILIZENI MUNGU.
Katika kumbukumbu la taurati 24:16, anasema nini:"mababa wasiuwawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya dhambi za baba zao.KILA MTU AUWAWE KWA DHAMBI ZAKE MWENYEWE"
 
Huna ujualo we kiraka.....
 
Ndio maana halisi ya jeshi bora.

From the river to the sea all jihadists will end up dead.
 
Hizbullah wameshambulia israel tell aviv ndani huko,na wanesema wataendelea,huwezi peleka ndege mia kushambulia kwa wakati mmoja,ni uwongo
 
Idadi,inaonesha habari imetiwa chumvi,hata route 100 za mashambulizi ya ndege huchukua muda,we panga f16 100 chini hapo uone zilivyo nyingi, israel anaweza kuwa kashambulia,lakini ndege mia ni uwongo
Unajua kama tupo kwenye kizazi cha teknolojia na siyo kizazi cha ekibindankoi?
 
Embu acha uongo kijana.
Kwa akili zako utumie ndege vita 100 kwa wakati mmoja aisee!?
Hivi hilo linaingia akilini??
Unazijua ndege 100 aisee we jamaa!?
Taarifa ya Reuters inasema Hizbollah leo mapema alfajiri alishambulia Israel kwa roketi 300 na kuharibu miundombinu ya kijeshi ya Israel.
Baada ya hilo shambulio ndege za abiria zilisitishwa kwa muda fulani kwa masaa kadhaa.
Israel wakajibu shambulio wakidai wameshambulia preemptive strike kuharibu miundombinu ya Hizbollah kwa kutumia ndege 100.
Japo utumizi wa hizo ndege Hizbollah wamekanusha na kusema hakuna hasara ilopatikanika na wanajipanga kufanya shambulio lingine dhidi ya Israel.
 
Unajua kama tupo kwenye kizazi cha teknolojia na siyo kizazi cha ekibindankoi?
Bro kadanganye watoto bana.
Hivi unajua wingi wa fighter jets 100!?
Yani labda ungeniambia drones kidogo ningekuelewa.
Aisee fighter jets 100!?
Unajua ukizijaza hapo zinaenea sehemu kubwa kiasi gani?
Na unajua hizo kelele zake zitakuaje!?
Ndege 100 kushambulia eneo dogo ambalo hata halizidi Kigamboni!??.
Si kungebaki majivu kote basi!?
 

Huyu Allah kazi anayo namuhurumia sana
 
Kwani umesahau zilivyoelea anga la kwa akina Hezbollah?Zilikua ngapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Aisee leo nimesikitika sana hiii hiii hiii!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sawa huwa unatudanganya Israel ila hii ya leo hapana baba hapana aisee dunia simama nishuke.
Fighter jets 100 kushambulia baadhi tu ya kambi katika kaeneo kadogo!??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dunia ndio ione sasa kuwa ISRAEL IS THE NATION OF LIES AND FALSE INFORMATIONS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…