IDF yasambaratisha kwa makombora jengo la ghorofa 8 Beiruti huku ikidaiwa mlengwa alikuwa kiongozi mkuu mpya Hezbollah Naim Qassem!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi Talal Hamiya

Watu 4 wameuawa na 23 wakijeruhiwa vibaya

Jengo hilo la ghorofa 8 limesambaratishwa kabisa na makombora ya ndege za IDF huku majengo Jirani nayo yakiharibiwa na kishindo kikubwa cha shambulizi hilo.

Bado hazijathibitishwa kama Kiongozi huyo Mkuu wa magaidi ameuawa au amenusurika

===============

Rumors are swirling on Hebrew news outlets and social media that the target of a massive Israeli strike in central Beirut this morning was either new Hezbollah leader Naim Qassem or senior Hezbollah officer Talal Hamiya.

Qassem was appointed to lead the Iran-backed terror group after his predecessor Hassan Nasrallah was assassinated in a massive Israeli airstrike on Hezbollah’s underground headquarters in southern Beirut.

Hamiya was appointed to lead the terror group’s operations division after Israel killed Ibrahim Aqil, the head of Hezbollah’s military operations in a Beirut strike on September 20.

Hezbollah’s al-Manar broadcaster reports that at least four people were killed and 23 wounded in the attack in Beirut’s Basta neighborhood, which apparently destroyed an eight-story building and damaged several others around it.

There is no immediate Israeli comment on the strike.
 
Hawa wa Israeli sasa wamepitiliza.

Jamani eh hao Hamas hawajaisha tu? Watoto na wanawake wajawazito mabibi na mabwana alfu hamsa washaangamizwa bado tu?

Mabilioni ya madola yeshakwenda, KUUA tu yaani ukichukua mabilioni yote waliyotumia na kuendelea kutumuia katika kipindi hichi kifupi utadhani wamefanya mazuri. Kumbe ni kuua tu🙌🏾

Kweli Benjamini ni wakukamatwa.

What is Happening is Genocide.
 
Mabilioni ya madola yeshakwenda, KUUA tu yaani ukichukua mabilioni yote waliyotumia na kuendelea kutumuia katika kipindi hichi kifupi utadhani wamefanya mazuri. Kumbe ni kuua tu[emoji1487]

Kweli Benjamini ni wakukamatwa.

What is Happening is Genocide.
Kwa akili yako ya kifia dini nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu anaetawala taifa la nuklia kama Omar al bashir mwenyewe hawakumuweza netanyahuu atashikwa na nani?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Yasemekana Kiongozi Mkuu huyo aliyechaguliwa karibuni na shura ya maimamu kuongoza kikundi hicho cha Hezbollah alikuwa ndani ya jengo hilo pamoja na afisa mwandamizi Talal Hamiya

Watu 4 wameuawa na 23 wakijeruhiwa vibaya

Jengo hilo la ghorofa 8 limesambaratishwa kabisa na makombora ya ndege za IDF huku majengo Jirani nayo yakiharibiwa na kishindo kikubwa cha shambulizi hilo

Bado hazijathibitishwa kama Kiongozi huyo Mkuu wa magaidi ameuawa au amenusurika

Taarifa kamili kukujia

Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:

Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday,
November 23, 2024
Reports: Massive Beirut strike targeted senior Hezbollah officer
Today, 6:39 am

Rumors are swirling on Hebrew news outlets and social media that the target of a massive Israeli strike in central Beirut this morning was either new Hezbollah leader Naim Qassem or senior Hezbollah officer Talal Hamiya.

Qassem was appointed to lead the Iran-backed terror group after his predecessor Hassan Nasrallah was assassinated in a massive Israeli airstrike on Hezbollah’s underground headquarters in southern Beirut.

Hamiya was appointed to lead the terror group’s operations division after Israel killed Ibrahim Aqil, the head of Hezbollah’s military operations in a Beirut strike on September 20.

Hezbollah’s al-Manar broadcaster reports that at least four people were killed and 23 wounded in the attack in Beirut’s Basta neighborhood, which apparently destroyed an eight-story building and damaged several others around it.

There is no immediate Israeli comment on the strike.
YULEE MPUUUZI WA JANA NILIMWAMBIAAA
.BEN KASEMA HII ICC UNEMUONGEZEA NGUVU NA SASA ANAPIGA BEIRUT NA GAZA KWA NGUVU ZOTE KUANZIA USIKUHUU

NKAMWAMBIA AHESABU WATAKAOKUTANA NA MABIKIRA 72 USISKUWALEOO
 
Sio lazima akamwatwe kwani Putin alipotolewa iyo Hati we unadhani kuna inchi itasubutu kumkamata Putin!!! Ipo ivi kutolewa iyo Hati. kunafanya utajo wako unaambatana na uharifu ww nimwarifu na unakesi ya jinai. Kwaiyo ni kama umemwagiwa kinyesi unanuka akuna atakaependa kuonana ww mana upinzani seem usika utakushutumu .ila Netanyahu anaweza kwenda ktk nchi zisizo na mkataba wa ICC, zipo nyingi USA CHINA RUSSIA NA Zengine chache.
 
Hawa wa Israeli sasa wamepitiliza.

Jamani eh hao Hamas hawajaisha tu? Watoto na wanawake wajawazito mabibi na mabwana alfu hamsa washaangamizwa bado tu?

Mabilioni ya madola yeshakwenda, KUUA tu yaani ukichukua mabilioni yote waliyotumia na kuendelea kutumuia katika kipindi hichi kifupi utadhani wamefanya mazuri. Kumbe ni kuua tu🙌🏾

Kweli Benjamini ni wakukamatwa.

What is Happening is Genocide.
Soma Tena upya uelewe,usikurupuke.uzi hauhusiani na hamas.
 
Sio lazima akamwatwe kwani Putin alipotolewa iyo Hati we unadhani kuna inchi itasubutu kumkamata Putin!!! Ipo ivi kutolewa iyo Hati. kunafanya utajo wako unaambatana na uharifu ww nimwarifu na unakesi ya jinai. Kwaiyo ni kama umemwagiwa kinyesi unanuka akuna atakaependa kuonana ww mana upinzani seem usika utakushutumu .ila Netanyahu anaweza kwenda ktk nchi zisizo na mkataba wa ICC, zipo nyingi USA CHINA RUSSIA NA Zengine chache.
warranty uchwara ni kama vile imemuongezsa kasi Netanyahu kwenye vita dhidi ya magaidi
 
Sio lazima akamwatwe kwani Putin alipotolewa iyo Hati we unadhani kuna inchi itasubutu kumkamata Putin!!! Ipo ivi kutolewa iyo Hati. kunafanya utajo wako unaambatana na uharifu ww nimwarifu na unakesi ya jinai. Kwaiyo ni kama umemwagiwa kinyesi unanuka akuna atakaependa kuonana ww mana upinzani seem usika utakushutumu .ila Netanyahu anaweza kwenda ktk nchi zisizo na mkataba wa ICC, zipo nyingi USA CHINA RUSSIA NA Zengine chache.
Hata Mtume wetu Muhammad ana kesi ya Ubakaji alimbaka binti Aisha, yeye na Allah ni wahalifu.
 
Hata mi niliona kituko yaani Benja ni wakumpiga mkwara na warrant kweli? Duniani maajabu hayakauki, baadala ya kumpetipeti wanatumia mabavu? haya sasa ndio kwanza kachachuka kama mbilimbi za wazaramo, imesaidia nini?
 
Kwa akili yako ya kifia dini nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu anaetawala taifa la nuklia kama Omar al bashir mwenyewe hawakumuweza netanyahuu atashikwa na nani?
Anayeweza KUZUIA Netanyahu asikamatwe ni USA na UK peke yake.
Ila yeye kama yeye Israel HANA UBAVU WA KUMTETEA HUYO NETANYAHU.
Hivyo usilete porojo za kuikuza Israel hapa.
 
Back
Top Bottom