SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 509
- 1,391
Kama watangazaji wetu ni aina ya mtu kama Kitenge, ni kwa nini Idhaa za Kiswahili zisichukue Wakenya?
Naona Maulid Kitenge anafanya project ya kutoka Kituo A kwenda kituo B na kurudi kituo A tena, sidhani kama kuna mtangazaji anawaza kutoka Local na kwenda kutangaza International.
Kwa sasa hizi Idhaa za kiswahili imejaa Wakenyanya kwa sababu inaonekana ndio wana uwezo na sishangai hata kidogo!
===

Naziona Idhaa za Kiswahili zikiwa na Wakenya kwa asilimia hadi 100 kwa sabbau sioni watangazaji wa Kitanzania wa sasa wa kuweza kufit kule.
Kama aina ya Watangazaji ndio wakina Kitenge ambao asiliamia 90 wanafanya comedy studio basi tutarajie Wakenya kujaa kwenye hizo İdhaa.
Na ni sawa kwa sababu Watangazaji wa Kikenya hata kwenye station zao wako serious na very professional, ukilinganisha na Watanzania.