Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu

Na waganda wanyewe wanamkubali Idd ni propaganda tu za Nyerere kumtangazia ubaya uliopitiliza
Mpaka tulimuimba kwenye mchakamchaka shule ya msingi........sumu tangu tukiwa wadogo
 
Yeye amekaa juu ya kiti but bendera ya Ug imefungwa chini, kweli huyu mwamba hatari alikuwa anadiktetia hadi bendera.

Hell must be real πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Really thought β—‡β—‡
 
Vituko vya Idi Amin Dada

LUTENI KANALI MSTAAFU DANIEL GANGISA ALIYESOMA NA DIKTETA IDD AMIN



DIKTETA Idd Amini Dada aliivamia Tanzania mwaka 1978, akidai sehemu ya kaskazini mwa Tanzania kuwa ni sehemu ya nchi ya Uganda hali iliyosababisha Rais wa serikali ya awamu ya Kwanza ya Jamhuri ya Tanzania Hayati Mwl.Julius Nyerere kuagiza Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutoa kipigo kizito kwa Dikteta huyo.

Kipigo hicho kilimuondoa Hayati Idd Amini sio tu katika ardhi ya Tanzania,bali alipigwa hadi katika ardhi ya nchi ya Uganda hali iliyosababisha kukimbia nchi yake hivyo watanzania na Waganda kukombolewa dhidi ya unyama na kuwaacha wanaishi maisha ya amani na utulivu.

Hayati Idd Amin alimpindua aliyekuwa Rais wa Uganda Dk.Militon Obote mwaka 1971 hadi 1979 aliondolewa na kukimbilia katika nchi ya Libya,baadaye Iraki kisha uhamishoni Saudi arabia ambako alifariki mwaka 2003 na kuzikwa katika nchi hiyo ya Saudia.

Luteni Kanali Mstaafu Daniel Gangisa (90) ni mmoja wa Brigedi Kamanda aliyeoongoza kumng,oa Dikteta Idd Amini Dada katika ardhi ya Tanzania hadi Uganda mwaka 1979. Shujaa wa Tanzania, Luteni Kanali Gangisa ni Mstaafu wa JWTZ ambaye anaishi katika Kitongoji cha Chandarua Kata ya Mshangano Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma, Tanzania .

Source : Songea TV
 

Nilikuwa namkubali sana huyu commando idd amini, acha yule mzee aliekufa Nyerere.
 

Kwanini anaitwa dikteta? Je, alikuwa dikteta kweli au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…