VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Huyo Bwana, kabla ya hapo alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi. Alitokea huko Unguja. Ile mwaka, 1985,ilionyesha Mwalimu alilazimisha jamaa awe mgombea wa U Rais, na Wapemba wengi wakimtaka Maalim Seif Sharif Hamad. Cha kufurahisha, pamoja na kuwa alikuwa mgombea pekee, alipata kura za ndiyo 58% na za hapana 41% . Kule Pemba, akipata za hapana zaidi ya 60%. Alipoapishwa, akamteua Maalim kuwa Waziri Kiongozi wake. Lakini, bado chokochoko kutoka kwa Wapemba hazikuisha. Pamoja na kuwa baadaye Maalim alitumbuliwa, uchaguzi uliofuata, hakutaka shida tena, akaamua asigombee!Tunajua sera ya ccm ni rais wao kuongoza kwa miaka 10, ilikuwaje yeye akatawala miaka 5?
Huyo Bwana, kabla ya hapo alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi. Alitokea huko Unguja. Ile mwaka, 1985,ilionyesha Mwalimu alilazimisha jamaa awe mgombea wa U Rais, na Wapemba wengi wakimtaka Maalim Seif Sharif Hamad. Cha kufurahisha, pamoja na kuwa alikuwa mgombea pekee, alipata kura za ndiyo 58% na za hapana 41% . Kule Pemba, akipata za hapana zaidi ya 60%. Alipoapishwa, akamteua Maalim kuwa Waziri Kiongozi wake. Lakini, bado chokochoko kutoka kwa Wapemba hazikuisha. Pamoja na kuwa baadaye Maalim alitumbuliwa, uchaguzi uliofuata, hakutaka shida tena, akaamua asigombee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee angepata za hapana nyingi si asingekuwa Rais, maana ilikuwa lazima upate ndio zaidi ya 50%Huyo Bwana, kabla ya hapo alikuwa Spika wa Baraza la wawakilishi. Alitokea huko Unguja. Ile mwaka, 1985,ilionyesha Mwalimu alilazimisha jamaa awe mgombea wa U Rais, na Wapemba wengi wakimtaka Maalim Seif Sharif Hamad. Cha kufurahisha, pamoja na kuwa alikuwa mgombea pekee, alipata kura za ndiyo 58% na za hapana 41% . Kule Pemba, akipata za hapana zaidi ya 60%. Alipoapishwa, akamteua Maalim kuwa Waziri Kiongozi wake. Lakini, bado chokochoko kutoka kwa Wapemba hazikuisha. Pamoja na kuwa baadaye Maalim alitumbuliwa, uchaguzi uliofuata, hakutaka shida tena, akaamua asigombee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee angepata za hapana nyingi si asingekuwa Rais, maana ilikuwa lazima upate ndio zaidi ya 50%
Na je kwa nini Nyerere alikua hataki Maalim seif awe Rais?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimesema alipata 58%. Yaani jumla ya kura zote. Hivyo, aliokolewa na kura za Unguja.Mzee angepata za hapana nyingi si asingekuwa Rais, maana ilikuwa lazima upate ndio zaidi ya 50%
Na je kwa nini Nyerere alikua hataki Maalim seif awe Rais?
Sent using Jamii Forums mobile app