Idris na Samantha ni kama penzi limeanza

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,294
Reaction score
6,872
Waliokuwa washiriki wa mashindano ya Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan wa Tanzania na Samantha Jensen wa South Africa wameanza kuonesha ukaribu wakiwa nje ya jumba la mashindano hayo.
Idris ambaye kwa sasa yuko South Africa Majira ya saa sita na nusu usiku walipost picha wakiwa pamoja kwenye mtoko wao, ikiwa siku moja tangu Idris kuwa akitumia simu na akaunti ya Samantha ya Instagram.
Mara kadhaa Samantha amekuwa akikiri kumpenda Idris. Na tangu Idris atoke kwenye jumba hilo Samantha amekuwa akipost kwenye Instagram picha alizopiga akiwa na Idris zaidi.
Wawili waliokuwa wakionesha ukaribu mkubwa wakiwa ndani ya jumba la BBA na baada ya Samatha kutolewa alikuwa akifanya jitihada za kumpigia kampeni za kumuombea kura Idris hadi siku ya mwisho.

Ova
 
Do you my dude, but watch them hood rats.

Jamaa kama Ernest Mkapa.Bado kidogo niseme baharia katua Macau nini? Kanikumbusha mbali mchizi wangu.
 
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?
 
Napenda Idriss awe na Samantha wanaendana sana hata mjengoni alikua ana mshauri vizuri hafu Samantha muelewa hapo Goitse alie tu alimkataa na kumdharau

Wajua hadi nilihisi Goitse ni lesbian coz alichokuwa akifanya na Sipe kitandani alikuwa akikifurahia zaidi kuliko alichokuwa akifanya na Idris. Hakuwa akishtuka hata alipofanyiwa vitu romantic. Nasikia alilia sana Feza alipotoka kwenye jumba.
Ova
 
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?

Hivi Zarina na Nassib wamelingana umri? Nataka nijue tu.
Ova
 
Wajua hadi niliisi Goitse ni lesbian coz alichokuwa akifanya na Sipe kitandani alikuwa akikifurahia zaidi kuliko alichokuwa akifanya na Idris. Hakuwa akishtuka hata alipofanyiwa vitu romantic. Nasikia alilia sana Feza alipotoka kwenye jumba.
Ova

Goitse ni lesbian tangia Botswana walikua wanasagana hata kuna siku walikua wanafanya na Sipe biggie akawaita baada ya kuingia fake house mate akawa anajipitisha kwa lukley alikua ana muona Idriss Hana kitu
 
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?

Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.

Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:

Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova
 
Goitse ni lesbian tangia Botswana walikua wanasagana hata kuna siku walikua wanafanya na Sipe biggie akawaita baada ya kuingia fake house mate akawa anajipitisha kwa lukley alikua ana muona Idriss Hana kitu

Duh! Sikuwa najua aiseeh! Nilikuwa namhisi sana coz sikuwa namuelewa kabisa.
Ova
 
Duh! Sikuwa najua aiseeh! Nilikuwa namhisi sana coz sikuwa namuelewa kabisa.
Ova

Ndo mana walikua wana oneana wivu Sipe akiwa na Macky 2 na Goitse akizoeana na Idriss wanawekeana bifu hadi Goitse ali mu nominate Idriss kama alikua anampenda asinge mu nominate kujipeleka kwa wanaume alio kua anaona wana status kuliko Idriss
 
Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.

Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova
Nisubiri hapo hapo nakuja:becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…