Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Katoa kutu zote sasa hivi kabuleta ipo saaafi kabisa mafuta yanapandaamemtafuna..
Le Big Show ni Mshika Pembe,kaishia kupiga picha na Zari tu,Diamond kafanya kweli.
What's the what baharia?
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:
Sipati picha kwenye hiyo party ya kumkaribisha itakuwaje!
Wolper,Lulu,Jokate sidhani kama watakosekana...
Wema...sidhani!
Sasa hivi ana kibabu chake chenye pesa chafu.
Sio umaarufu,umalaya.....