Idris: Nilikuwa mpiga picha wa Lulu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Akizungumza na Global TV online kwenye Kipindi cha Mtu Kati , Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Rashid Sultan, amefunguka na kuelezea mahusiano yake na muigizaji Elizabeth Michael ‘lulu' ambapo Idris alisema amejuana na kuwa marafiki na Lulu kupitia Kazi yake ya kupiga Picha na kusanifu kurasa za majarida ambayo alikuwa akiiifanya.

Swali:
Vipi kuhusu uhusiano wako na Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu'? Idris : Mimi ni mpiga picha na msanifu kurasa, Lulu alikuwa anakuja nampiga picha na ni rafiki ambaye tumejuana kwenye kazi tu, sitaki kujua amejiwekaje. Mbali na hayo, Idris alizungumzia ndoto zake za kufanya kazi Hollywood ambapo alisema anaamimi ana kipaji kikubwa cha kuigiza jampo kuwa kwenye jumba alionyesha kipaji cha kucheza.

"Nina ndoto kubwa ya kufika huko, nilivyofika kwenye ile nyumba nilikuwa nina kipaji cha kucheza lakini pia naamini niko vizuri kwenye uigizaji hata kutoka kwa Fig, Big, washiriki wenzangu, mwalimu mwenyewe anashangaa kwa hiyo ninahitaji kuendeleza hicho kitu"-Idris alimaliza.
 

Attachments

  • 1421176185703.jpg
    34.5 KB · Views: 678
Taratibu wanaanza "kuthibitisha" urafiki wao ili nia zilizojificha nyuma yao zisonekane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…