Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Mkuu huyo labda Zarina lkn km ni Wema Isack Sepetu ni wa 1988
 
Mkuu tumuite nani sasa kwa mfano yaani
 
Watalamba ndimu mwaka huyu
Hebu ngoja nifuatilie hili shostito.
Ila hongera zao,Mungu awajaalie mtoto mwenye afya njema.
Yale maneno ya kejeli aliyokuwa anapewa Wema yanaumiza sana.
 
Uwiiiiiii jamani sio kwa maneno hayo matamu namna hiyo!
Bae kama utapitia hapa hebu yakopi uongezee na yale yako basi?
Hahahahahaa unaweza kujihisi dunia yote umeishika wewe.
Hongera Wema,hongera Idriss!
 
Fame
 
wemaa inamaana diamond alikuwa anamwagia nje kwa wema au risas mbovu
 
Aseee siri ya mtungi ajue kata, viuno akata mwingine utamu upate wewe uliona wapi, usimjaji mtu kwa out appearance yake


I'm not judging, nasema mimi binafsi I can't sleep with a hoe without a condom. Sorry for my opinion, lakini ni muhimu kujikinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…