Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari wakuu,

Mi mgeni humu naomba nizungumze kitu.....

First naomba niweke wazi kuwa huyu jamaa hajawahi kunichekesha hata siku moja. Nilitabasamu kiduuuuuchu ile clip ya remy ongala aliyoikata na kujiweka kashika kisu. Pale kidogo nilitabasam kwa mbaaaaali. Lakini ukweli ni kuwa I dont find this guy funny at all.....

WHY IS HE THE BEST COMEDIAN
Nimempa cheo hiki coz kwa sasa hakuna page katika insta ambayo kwenye comments watu wanacheka sana kama page yake. Humo utaona hadi watu wanalalamika kuumizwa mbavu (Mi huwa nashangaa sana) . . . So kutokana na hili, sina budi isipokuwa kukiri kuwa Idris Sultan is currently the best comedian in instagram.....
 
Ahaa....kwani instagram inapatikana JF?
 
Website ya instagram ni ipi na siye tuingie tucheke
 
Nimeona mama kijacho anaweka relaxer, watu wanasema jamani dawa sio njuri kwa mtoto tumboni!!!! Hahahahaha. Mama kijacho kasahau Kama Ana ujacho!!!
Huyo comedian I don't find him funny at all, and he tries too hard.
 
Nimeona mama kijacho anaweka relaxer, watu wanasema jamani dawa sio njuri kwa mtoto tumboni!!!! Hahahahaha. Mama kijacho kasahau Kama Ana ujacho!!!
Huyo comedian I don't find him funny at all, and he tries too hard.
Ha ha ha utadhani walikuwepo kwa Dr wakati ma kijacho anapewa majibu
 
Kwakua ni mtanzania mwenzetu, mimi namtakia kila la kheri. Ila afanye kitu kionekane na kimtangaze, ila usirudie tena kutumia njii hii uliyoitumia. MTOTO WACHA KUPIGA MAYOWE, WACHA WATU WAONE WENYEWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…