Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

Kansiime hana mfano katika afrika mashariki angekuwa anajua kiswahili vizuri wabongo tungemuelewa sana lakini yule dada ni mchekeshaji wa asili sio hawa wapiga storui.
 
Huyo ni kati ya watu wanao jiita macomedian lakini si lolote si chochote ...hajui chochote Idris...
 
"mimba my foot" in wema's voice ha ha ha
Siku nikiona tumbo nitampa hongera, nilitoa hongera kwenye ile nyumba alosema kanunua m400, nikatoa hongera kwenye ile picha kavaa shela akasema kaolewa.....this time nasubiri kwanza
She is always fake fake fake...
 
Akianza kuchekesha mimi naingiwa na aibu natamani ata nijifiche chini ya meza nisimtizame. Natamani kama kumstopisha asiendelee kutia aibu. Hongera zenu anaowachekesha.
 
Mtu ajiue kisa wema anamimba !!!!!!!!! mipasho yenu ya insta unaileta kwa great thinkers,huku zinajengwa hoja si mipasho.
Kwa leo tufanye sijaona.
Ila sikukwambia wewe
Nlomwambia kanielewa!!!
 
Ah wapi.... analazimisha lakini hawezi kabisaaa......

akachukue kozi kwa mzee majuto, joto, mpoki na mkandamizaji... hawa ndio wachekeshaji wa ukweli....
 
ahahaha, wema angekua na mimba hata ya siku mbili angeonyesha ultra sound insta, hana mimba wala mjusi, mtaji murder nyie wagumba

Naisubiria maana hata mi siaminii mpaka mtoto kazaliwaaa
 
Bila shaka ni story tu ya kuzima ile story ya kutimuliwa kwenye nyumba ntaamini siku nikiona ana bonge la tumbo, sijui ntaaminije make photoshop nazo kiboko
Kwa hiyo hata ukimwona barabarani itakuwa ni photoshopo...!! Hii sasa kiboko japo haiishi majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…