Idris Sultan kawa kimya sana

Mangungo II

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
18,133
Reaction score
26,766
Huyo dogo kawa kimya Sana

Tangu mwenye mkoa wake kumtaka akaripoti polisi dogo kanywea Sana .

Sio kawaida kukauka kwenye social media hasa ukizingatia dogo ana michongo yake ya matangazo kama vile sportpesa,alaf,uber nk

Mlio Karibu na dogo mtujuze ana Hali gani ?

Baba keagan mkaushie dogolasi [emoji2]
 
Ni watu wasiojulikana ##Bring back our idris,Aisee afadhali umeripoti mapema mkuu.
 
Huenda akaunti yake inashikiliwa na vyombo vya Dola kwa ajili ya ushahidi au uchunguzi zaidi..
 
Wasukuma sio watu wazuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…