Idris Sultan ni mwigizaji mzuri sana, akifuata ushauri huu 'atatoboa' kimataifa

Nakumbuka tulikua mliman kwenye forum ya distributors and idris alikua one of the guest speaker , sasa baadhi ya wanafunzi pale mliman wakakasikilika, wakawa wanasema idris kuja mliman kuwa lecture ni matusi, but nadhan they were just jealous na mafanikio ya idris ambaye hajasoma, na jamaa alikua anatoa speech ya maana , he was good , Mimi namkubali sana idris


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuanzie hapa...kua educated ni kuwaje?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Usini challenge , kama hujui maana ya kuwa educated and be uneducated ka google . Tusichoshane


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usini challenge , kama hujui maana ya kuwa educated and be uneducated ka google . Tusichoshane


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ulivyo niuliza sifa za msomi ni zipi,? Wewe google hukuiona? So do i [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ulivyo niuliza sifa za msomi ni zipi,? Wewe google hukuiona? So do i [emoji3]

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Huna jipya , unacheka halafu unajitekenya


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ushauri mzuri. Ingawaje ungejitambulisha kama kiongozi mkubwa wa kisiasa huenda ushauri wako ungekuwa na uzito wa kipekee wa kuzingatiwa. Lakini kwakuwa umeongea kama kapuku hivi, aaah haya atasikia.
Mtazamo wako, ahsante kwa kuchangia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wabongo huwa wananishangaza sana, hii term "Educated" au "Msomi" huwa iko overrated sana.

Nadhani tafsiri ya usomi sio kuwa na Degree, Masters au Phd at least for me. Msomi anaweza kuwa kwa mtu yeyote aliyepitia kwenye misingi ya taaluma ikamuwezesha kujitambua na kupata maarifa ya kumuwezesha kuishi katika utaratibu mzuri wa maisha hasa ethically. Going further usomi unadhihirika zaidi kwa watu kuwa civilized na kuongozwa na busara katika kupambana na mazingira yanayowazunguka.

NB: Unaweza kuwa umepitia kwenye misingi ya taaluma na ukaonekana si msomi ana hujaelimika. Zaidi tunaangalia ni kipi umebakiwa nacho kichwani kitakachokuwezesha kuishi katika utaratibu sahihi wa kimaisha. Aidha uwe na busara ama uwe na utaalamu flani.
 
Kama aliteketeza 500m kama mabua kwenye moto hata kwenye movie nae ataenda kutapakanya.
 

Nazungumzia watu kama idris , Literally Idris is not educated, yet he is not naive , he is so much aware of what is going on in the world , he is exposed , he is a bit Americanized; his life style , even his accent ukimsikia . he can even challenge the graduates on how he carries himself , the boi is emotionally intelligent , ni vile tu Ana ujinga mwingi , but idris ni kijana smart sana , he is so active na anajiamini, anaishi life yake kama yuko mbele hivi, yan namkubal sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Japo umeonesha mahaba ila nimekuelewa. Kwenye msingi wa mada pia Idris hio comedy is not his thing. Afanye mengine tu. He really doesnt make me laugh!
 

Most of bongo celebs are not educated , and they are ignorant . Idris is not educated academically but ako smart kichwani, anajielewa sana . Yule bongo bahati mbaya . He has An American Genes[emoji16]. Jamaa anaishi kistaa .

Mastaa wengi wa mbele wako kama idris , hawajaenda shule but wako smart , kulingana nadhan na life style Yao , wako very organized interms of everything .


Idris is the only star wa bongo ambaye I would waste my time having conversation with . Kale katoto kamebarikiwa sana , kako kichwani, kama ningepata bahat ya kum manage angefika mbali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Idris yuko educated, amepitia mifumo ya taaluma ya msingi na sekondari. He is a learned brother japokuwa hakuweza ku excel katika mkondo wa taaluma, he is talented. Ameweza kublend kile alichojifunza shule na talent yake thus why you see him as the way he is. The British accent plus keeping himself clean. Lifestyle yake na confidence.

Well kwa mahaba uliyo nayo kwake seems akituma proposal utaichakata within 24hrs muwe kitu kimoja...lol!
 
What is usomi? Ability ya kuweza kutumia maarifa uliopata kukabiliana na mazingira yanayokuzunguka. Tuangalie faida za elimu.

1.Afya ya mwili na mambo ya kuzingatia
2.Sheria na changamoto zake n.k
3.Lugha
4.Uchumi
5.Ustaarabu

Mtu aliepita shule akawa well informed juu ya haya machache anaweza ku qualify kuitwa msomi. Regardless ameishia level gani
 
Ana accent mbovu ya kiarusha huyo hawezi kutusua hata bongo let alone kimataifa.

Zile zama za kuongea kwa lafudhi fulani kama Bambo enzi zile zishapitwa na wakati...

Uyo ana lafudhi ya kiarusha anayojairibu kuifuta yani ata anavyoongea tu inaboa kuskiliza.......
 
Lack of creativity . Yan Ana force u comedy . Atulie tu awe normal tu apige issue nyingine ,Ila I comedy hapana


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukweli ni kua hana talent za kuigiza bana mbona mnapiga piga chenga huo ndo ukweli...

Iyo lafudhi anavyoongea tu inaboa kusikiliza sembuse kwenye movie?

Awe kama wema sepetu sio mbaya ila ukweli ni huo.....
 
Kinachotuharibia wabongo wengi ni ujuaji na kuridhika Mapema. Yote ulomshauri na mtazamo wako ni sahihi lakini bado utaonekana wewe ni hater maana hapo mwenzio ndo kashafika!
 
Kinachotuharibia wabongo wengi ni ujuaji na kuridhika Mapema. Yote ulomshauri na mtazamo wako ni sahihi lakini bado utaonekana wewe ni hater maana hapo mwenzio ndo kashafika!
Hahahah kama kawaida, new year old habits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…