Idris Sultan ni mwigizaji mzuri sana, akifuata ushauri huu 'atatoboa' kimataifa

Naona unatema yai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafika mbali sana.Yeye anajiona anafit Hollywood his Dreams are Valid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ana dream for himself au for Hadhira?

Your Dreams are Valid too!


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kwa hadhira ...sisi si ndo hadhira ama?

We kama una self obssession naye sawa ila ukweli ni kua hana caliber ya kutusua hata kwenye bongo movie let alone hollywood.

Acheni zarau eti hollywood.....Tanzania hakuna World class actor bado labda hao ambao hatujawaona aisee.

Bitter truth, huh!??
 
Bitter truth to a wrong person!

Your dreams are Valid.Still

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kuhudhuria moja ya show zake,nikawa nashangaa sana mbona sicheki nikajua labda stress zangu ni kubwa kuliko vichekesho vyake,

Lakini nimekuja kugundua kwenye comedy jamaa hamna kitu kabisa
 
I hate that boy when he tries to become a comedian, inshort hajui analazimisha! Kuna wanawake wana hisia nae za kimapenzi (mahaba) ndio wanaocheka cheka na kila post anayoweka.

Kujinyegesha, aaaah


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Informal education , of which mastaa wengi pia hawana , but idris has got it.


Idris has got all qualities to fit into the Hollywood industry , mark my word , ni vile tu , hajapata mtu wa kum manage na kumuonyesha njia. Aki acha uchizi wake na kuwa serious , then namshauri asiigize bongo movie, aanzie japo south , au hata kama bongo iwe co production collaboration


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilishawahi kuhudhuria moja ya show zake,nikawa nashangaa sana mbona sicheki nikajua labda stress zangu ni kubwa kuliko vichekesho vyake,

Lakini nimekuja kugundua kwenye comedy jamaa hamna kitu kabisa

Hana sense of humor , he is not amusing at all


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo para #2 unamwongelea Idris wa sasa au wa kipindi kile cha BBA, sijakupata vizuri kwa hicho kidhungu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli hafai
Nje ya mada
Nimekumbuka tu nikasema hebu niwaangalie waliopata tuzo ya bba wote leo wana hali gani?
Naona Dillish yuko vizuri sana ingawa mwingine namuona kahama na kuanza maisha UK na mwingine yuko Brazil
Maisha haya

Sent from my SM using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…