Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440


Huyu ndo kijana mtanashati anayetuwakilisha mjengoni BBA kwa mwaka huu 2014, anaitwa Idris Sultani.

Alikuwa photographer/graphic designer ndani ya kampuni ya i view studio.

Kila la kheri kijana.

------------

 
Dah wangempeleka wema.

Halafu sijui kwa nini wabongo wakitoka BBA tu umaarufu wao unashuka, jamaa wangefanya mpango tu show ionyeshwe ITV hadi babu zetu kule kimbiji waone mashindano, maana asilimia nyingi wa wanaofuatilia BBA ni watoto wa kishua , maana kununua dstv sio expensive sana hizo bundle sasa kuanzia hamsin kwenda mbele, wakat hyo hamsin unapat star times
 
Binamu huwaga wawili lbda mwaka huu wabadilishe ntaangalia tu siku ya kwanza wanavyoingia mie naona hmna cha maana Chanel 198 wanaonyeshaga 24 hours

Naona sasa ivi channel yao wameweka still picture naona mambo si mda wataonyesha, mbona ntakesha nayo hadi hasubuhi
 
Somebody Veda kama sijakosea. Ni actress. Ila si maarufu kama mama ubaya...

May be hajawa supported ki vile coz hana muonekano wa kuchanganya damu kama Idriss
 
Somebody Veda kama sijakosea. Ni actress. Ila si maarufu kama mama ubaya...

May be hajawa supported ki vile coz hana muonekano wa kuchanganya damu kama Idriss

Mh na huyu idriss kachanganya wanapenda .5 mwisho, richard, nando wote walichanganya damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…