Idriss ahamia kwa Lulu

Na UOTE="Mbwa dume, post: 15361074, member: 199782"]R.I.P Idris!
Ukifika wasalimie Komba na Kanumba![/QUOTE]
Na atadedi kweli we muache
 
Ujana bwana una raha sana,kila Kitu wajionea sifa tu
 
hongera wema kumbe ana kwake
mmmh hukawii kuona virago vimerushwa nje



katika jambo ambalo idris amekosea ni kujiingiza kwa wema imekula kwake asipoangalia ataumia ni bora akimbie fasta
 
Kweli mjini kuovatekiana......nguvu zako tu za mguu kukanyaga mafuta........sasa na modo wetu inakuwaje.......na mtoy.....?......
Modo mwenyewe alimkwapua kwa mtu, atakwapua mwingine maisha yaendelee
 
Lulu jela kumemkuza *****, upuuzi hana sasa hivi, wema sepetu nae ngoja awekwe rumande kama mwaka hivi akitoka utaona kama atakua na drama za kipuuzi
Ha ha ha hivi binamu lulu alikuwaga jela kweli? Jela ipi mtu akikaa ananawiri vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…