Idriss ahamia kwa Lulu

Mkuu sio utapeli tu kale katoto pia kana "kimavi" a.k.a "gundu" yaani wanaume wote wanaotoka nae wanakufa vifo vya mashaka kwa kweli
 
Mkuu hivi na yule Faiza Haider (rafiki yake lulu) nae ni mtu wa michepuko mingi?? warumi
faizer haider sidhan kama waliwah kuwa na urafiki na lulu zaidi ya kufahamiana tu, faidha level zake za kimataifa yule, sio chokoraa kama lulu, mtoto ana swagg za ki international then ni wakishua mbaya, Yupo UK sasa hiv anapiga kitabu, yule ategemei wanaume kama lulu
 

hata sioni jipya hawa tumeshawazoea na mitabia yao
 
harafu hawa waweza kuta wanauza mech sana mdudu anawatembelea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…