Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Lilikua ni tangazo tu kaonyesha vuzi ili baadae apromote nyembe za Gillette ila kwakua siku hizi wanaume mnafikiria kwa kutumia masaburi ushakimbili huku kuanzisha uzi[/QUOTE
SanaHalafu huyo jamaa anajionaga comedian sana kumbe anaboa. Watu waliotika big brother wanashida mahali
wekeni picha basi
ZikowapiHaijakaa sawa kabisa.. sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram.. kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo......kawadhalilisha sana wanaume kwa kweli.
Hizo nyeti zikwapi....[emoji30][emoji30]Haijakaa sawa kabisa.. sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram.. kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo......kawadhalilisha sana wanaume kwa kweli.
Hii taarifa inakera sana...unaleta umbea bila kukamilisha na picha au hata kavideo?shiiiit
Haijakaa sawa kabisa.. sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram.. kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo......kawadhalilisha sana wanaume kwa kweli.