IELTS na TOEFL ni upuuzi kwa baadhi ya nchi

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu.

Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia kiingereza kama lugha ya kujifunzia lakini bado ukitaka kwenda kwao wanataka hicho cheti.

Huu bado ni utumwa.
 
Sasa kutumia kiingereza kufundishia ndio kunakufanya uwe unajua kiingereza? Wangapi hawajui kiingereza kabisa japo ana degree, je unadhani akienda huko ataweza kuelewa? Ndio maana wanataka ufanye test wajue kama utaweza kuelewa.

Ukiona test hizo ni utumwa, basi usiende baki soma hapa hapa. Na kama ni scholarship huwa wanaona umefeli wanajua kwanza upate course ya lugha au kama hawana bajeti ya lugha wanakuacha. Hizo sio test za kuingia nchi, mara zote huwa zinafanywa kwenye masuala ya kazi au shule
 
🫠
 
Wangapi hawajui kiingereza kabisa japo ana degree, je unadhani akienda huko ataweza kuelewa?
Kuna kingereza cha kusomea na cha story, mtu akielewa masomo inatosha. Ndio maana watu Wana degree lakini hawawezi kuongea kingereza lakini wanaelewa. Kwani anaenda kusomea afundishe lugha?
 
Demand mkuu,
-Wewe na yeye nani anamhitaji mwenzake zaidi?
-Foreigners wangapi wanakuja TZ kusoma ukilinganisha na wanaoenda UK, US nk kusoma?
-Hizi regulations wanaweka ili kupunguza idadi ya wanaotaka mwenda kwao.
- Mambo ya bank statement, kutokuishi huko baada ya masomo ni kutaka kupunguza tu idadi ya wanaotaka kwenda kwao.
-Miaka hii kwenda abroad kusoma ni changamoto sana, yaani baada ya Sept, 11 mambo yalibadilika sana.
 
Kuna kingereza cha kusomea na cha story, mtu akielewa masomo inatosha. Ndio maana watu Wana degree lakini hawawezi kuongea kingereza lakini wanaelewa. Kwani anaenda kusomea afundishe lugha?
Kwahiyo kama hawezi kuongea, atazungumza vipi na maProf na maDr. Research ataiwasilisha vipi?
 
Back
Top Bottom