Sasa kutumia kiingereza kufundishia ndio kunakufanya uwe unajua kiingereza? Wangapi hawajui kiingereza kabisa japo ana degree, je unadhani akienda huko ataweza kuelewa? Ndio maana wanataka ufanye test wajue kama utaweza kuelewa.Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu.
Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia kiingereza kama lugha ya kujifunzia lakini bado ukitaka kwenda kwao wanataka hicho cheti.
Huu bado ni utumwa.
🫠Sasa kutumia kiingereza kufundishia ndio kunakufanya uwe unajua kiingereza? Wangapi hawajui kiingereza kabisa japo ana degree, je unadhani akienda huko ataweza kuelewa? Ndio maana wanataka ufanye test wajue kama utaweza kuelewa.
Ukiona test hizo ni utumwa, basi usiende baki soma hapa hapa. Na kama ni scholarship huwa wanaona umefeli wanajua kwanza upate course ya lugha au kama hawana bajeti ya lugha wanakuacha. Hizo sio test za kuingia nchi, mara zote huwa zinafanywa kwenye masuala ya kazi au shule
650,000-800,000Gharama ni Shilingi ngapi
Kuna kingereza cha kusomea na cha story, mtu akielewa masomo inatosha. Ndio maana watu Wana degree lakini hawawezi kuongea kingereza lakini wanaelewa. Kwani anaenda kusomea afundishe lugha?Wangapi hawajui kiingereza kabisa japo ana degree, je unadhani akienda huko ataweza kuelewa?
Na ni lazima wataenda kukufundisha kwanza alafu ndio paper linafuata au ukijisajili utaenda tu kufanya test tu650,000-800,000
Kwahiyo kama hawezi kuongea, atazungumza vipi na maProf na maDr. Research ataiwasilisha vipi?Kuna kingereza cha kusomea na cha story, mtu akielewa masomo inatosha. Ndio maana watu Wana degree lakini hawawezi kuongea kingereza lakini wanaelewa. Kwani anaenda kusomea afundishe lugha?