Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 May 30, 2019 #1 Mwaka 1845 Warumi walianza kula kifungua kinywa chenye mayai. Kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi chai ya asubuhi ilijumlisha mayai manne ya kuchemsha.
Mwaka 1845 Warumi walianza kula kifungua kinywa chenye mayai. Kwa mwanaume mwenye uwezo mzuri kiuchumi chai ya asubuhi ilijumlisha mayai manne ya kuchemsha.
Duduvwili JF-Expert Member Joined Jan 31, 2015 Posts 4,355 Reaction score 4,476 May 30, 2019 #2 Mkuu una maanisha nini?