If every settlement with corrugated iron sheet mud walled houses and half a dozen modern buildings is made a city then Kenya would have more than 47

Haha

01000110 01110010 01101111 01101101 00100000 01110010 01101001 01100111 01101000 01110100 00100000 01101000 01100101 01110010 01100101 00100000 01101111 01101110 01101100 01101001 01101110 01100101

No one belongs or 'from online', we all are from somewhere, some tribe, some people, mababu zako wametokea sehemu ambapo ndio asili yako wacha kuogopa. Mengine haya ni mzungu tu kalazimisha tuishi pamoja na kutuchagulia mipaka.
 
Sasa kabila au dini ya mtu vina faida gani hapa duniani? Kama wote mnaishi kwa usawa maswala ya ukabila au udini unakosa sababu ya juwepo katika jamii. Binadamu wote ni sawa, wanazaliwa, wana ishi na wana kufa. Zaidi ya hapo ni marembo ambayo yameletwa na sisi binadamu kututenganisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…