Huku kuna uber babaa so kama wewe ni mshamba utabaki umezubaiaa majumba ya Nairobi hadi kieleweke.Hee we jamaa vp? Yaani mgeni akija hajui wapi apande bas useme ni maendeleo? Ubungo ni terminal kubwa East na Central Afrika kote nimeenda nimejionea. Tupe sifa yetu hata kidogo babu
Nyie si wakora, mnawaambia wazungu wakuje kwenu kuna mountain kilimanjaro hata yule minister wenu aliwahi sema hivyo kwa Un eti kilimanjaro is in Kenya. Na serengeti mnatangaza yenu. Apart from Ukora wenu, hamuwezi kupata watalii wengi kama Tz. Acheni utapeli jirani
Nilimwambie walete wakapotea wote.Tuonyesheni hizo cities in TZ zenye maghorofa tuone.
Nilimwambie walete wakapotea wote.
Huko kwenye regions zingine ndo kuna vichekesho na aibu kuu,angalau Dar na Arusha ndo huwa zinatufuta machozi kidogo the rest ni bado sana tunajichanga.Ntakuja NRB kutalii 2022 malizeni magoroga yenu marefu yote kwanzaBy the way apart from Dar which other place in Tz iko na towers venye huyu jama anasema, bring those 31 regions tuone 😂😂
Ever since tumezindua lift kwa sasa tumejenga magorofa mengi yenye lift up ten floors so tumepiga hatua kubwa ntakutumia picha real by the end of this monthHebu uwaulize walete View ya Mbeya "CITY '. watakuambia tumenunua ndege kwa pesa zetu
Acheni kuifananisha Tz na vitu vya ajabu bana....