Nimegoogle, Magonjwa yoye haya ya milipuko yanaanzia china from human history!Kutoka China corona ilileta madhara makubwa Iran, italy, na Latin America, December 2019 corona ilianza kuenea Ulaya lakini hatua kali zilianza kuchukuliwa March. Kufika April 2020 idadi ya vifo ilikuwa takriban watu 1,000 Uingereza wengi wakiwa wazee wa 70+ na wenye magonjwa sugu.
Dunia sasa hivi imekua ndogo kutokana na maendeleo, watu wanasafiri umbali mrefu kwa muda mchache.
Wala !!ni highly contagious tu sema wazungu RT zao ni dhaifu kidogo.Hivi Covid-19, ni highly fatal.?
Na kweli TZ si unaona maombi yalivyotuokoa?Human race can't be wiped from the world...sema tutakufa wengi tu. Mdondo haujamaliza kuku duniani,sayansi zinamwisho wake. Wapo watakaobaki.
mzee inaonekana wewe ni mtu wa imani sanaHuman race can't be wiped from the world...sema tutakufa wengi tu. Mdondo haujamaliza kuku duniani,sayansi zinamwisho wake. Wapo watakaobaki.
mkuu tatizo sio janga la magonjwa ya mlipuko, tatizo ni kwamba kuna watu wamekaa mahali wanapanga mipango ya kuiangamiza dunia, na ndio hao hao wakiwa hadharani wanakua vinara wa mipango ya kuilinda dunia dhidi ya haya majanga!Kwa jinsi dunia ilivyo-handle coronavirus /Covid-19 pandemic, ni wazi kuwa huko mbele, ukija ugonjwa wa mlipuko ambao unaambukizwa kwa haraka na unaua watu wengi kwa muda mfupi, mwanadamu atatoweka kwenye uso wa dunia KAMA DUNIA NDIVYO ITAKUWA IMEJIANDAA KWA MILIPUKO KAMA ILIVYOFANYA MCHEZO KWENYE CORONA.
Si USA, si EUROPE, si ASIA , si SCIENCE; kama handling ya milipuko inayoua watu wengi itakuwa kama hii, basi huko mbele ukija deadly pandemic kama Buboni plague, basi wanadamu watatoweka!
The Black Death: The Greatest Catastrophe Ever | History Today
Maombi ni kila kitu,ombeni nanyi mtapewaNa kweli TZ si unaona maombi yalivyotuokoa?
Mana we defied science..
Na pasipo Imani huwezi kushinda kitu mkuu.mzee inaonekana wewe ni mtu wa imani sana
[emoji23][emoji23][emoji23]nimependa hii optimism ya kiswahiliMungu si Athumani mkuu
Haiwezekani kuwa wiped wote!
Dunia ya sasa inajali uchumi/pesa kuliko kitu kingine chochote kile.Kwa jinsi dunia ilivyo-handle coronavirus /Covid-19 pandemic, ni wazi kuwa huko mbele, ukija ugonjwa wa mlipuko ambao unaambukizwa kwa haraka na unaua watu wengi kwa muda mfupi, mwanadamu atatoweka kwenye uso wa dunia KAMA DUNIA NDIVYO ITAKUWA IMEJIANDAA KWA MILIPUKO KAMA ILIVYOFANYA MCHEZO KWENYE CORONA.
Si USA, si EUROPE, si ASIA , si SCIENCE; kama handling ya milipuko inayoua watu wengi itakuwa kama hii, basi huko mbele ukija deadly pandemic kama Buboni plague, basi wanadamu watatoweka
The Black Death: The Greatest Catastrophe Ever | History Today
Hilo utafunga peke yako..acha wapige pesa madawa kila leo yanatengenezwa.Sijui kwanini tusifunge kwa maombi ya siku3 zingine kwa ajili ya HIV, MALARIA NA CANCER!.