WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Sasa huyo jamaa akienda nje na kutafuta nyumba ndogo huyo rafiki yako atakasirika?
Hivi wanaume hawawezi kuvumilia? Hebu fikiria..wewe ukiugua na kulazwa hospitali miezi sita au ukipata tatizo la kukufanya usiweze kwa muda..ina maana mke atafute nje?
Huyo mdada anasababu ya kuchoka..kwanini jamaa asivumilie hadi weekend?
wale kule jela mbona wanavumilia bila ngono......mbona mie naweza kukaa hata mwaka na zaidi bila kufanya mapenzi.....Hivi wanaume hawawezi kuvumilia? Hebu fikiria..wewe ukiugua na kulazwa hospitali miezi sita au ukipata tatizo la kukufanya usiweze kwa muda..ina maana mke atafute nje?
Huyo mdada anasababu ya kuchoka..kwanini jamaa asivumilie hadi weekend?
wale kule jela mbona wanavumilia bila ngono......mbona mie naweza kukaa hata mwaka na zaidi bila kufanya mapenzi.....
Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!wale kule jela mbona wanavumilia bila ngono......mbona mie naweza kukaa hata mwaka na zaidi bila kufanya mapenzi.....
na assume jela wanavumilia maana sio woote wanashiriki vitendo vya u gay.....hao ambao wifey kalzwa wiki tu anatoka nje ni wamerogwa wanahitaji maombezi makubwa.....tatizo ninaloliona bongo ni kuwa watu hawana issue za kufanya baada ya kazi zaidi ya kwenda bar....Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!
Hongera ndugu yangu kama wewe ni mmoja wa wale wenye self discipline.Wenzio hata mke akilazwa hospital wiki tu tayari wanahamia nyumba ndogo... si unawaona hapa JF wanavyoshadadia?
Jela kumbe wanavumilia! Kwanini uraiani wanashindwa? Lakini huko nako vitendo vya ulawiti mhhhh!