mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,084
- 647
"Phenotypically" YES but NOT "Genotypically".Naomba mnisadie jamani, kama heading inavojieleza!
"Phenotypically" YES but NOT "Genotypically".
That is why I am saying,there is a chance that they can be phenotypically alike but not genotypically.Hata phenotype inaweza kuwa tofauti. Consider the followinf genetic materials transfer RR (25%), Rr (50%) and rr (25%). R being dominant gene and 'r' being recessive gene.
Bado the role of chance exist. mfano mzuri uko kwenye studies nyingi zilizofanyika nigeria. Cheki kwenye PUBMED, HINARI, and the like, utaona inazungumziwa hivyo.Sio rahisi. Muundo, sura na tabia itategemea mchango wa genetic materials toka kwa baba na mama. Katika genetic material transfer kuna kitu kinaitwa dominant na recessive genes.
Ingawa wote ni identical twins, dominant au recessive genes zinaweza kutumika na kufanya twins kutofanana.