Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutubu kwa Muumba ili siku, saa, dakika na sekunde ikukute ukiwa mweupe tayari kwa safari kuelekea katika ulimwengu wa roho!
Siyo kutishana mkuu Rohombaya! Huo ni ukweli kwa sababu pia sina uhakika kuwa huo ulimwengu haupo!Una uhakika huo ulimwengu upo au tunatishana tu??
Sina uhakika na hili lipo ki 'intelligence'. Kama ki chit chat vile?
"If today will be the last day of my life kitu gani cha maana sana naitajika kukifanya in a single day"
not 1week, 1month or 1year just single day
~R.I.P STEVE JOBS~
Made in mby city.
"If today will be the last day of my life what am about to do is what am supposed to do today"
Yalikua ni maneno CEO FOUNDER OF APPLE STEVE JOBS katka moja ya speech zake kwenye mahafali pale stanford university marekani mwaka 2005.
....naomba muumba asinichukue mpaka nimuoe Zinduna...kwanza....hata kama ni uzeeni poa..tu..
I know i will blow a kiss at you.
i will laugh and smile hadi mashavu yaume