silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Ha haaa. umesahau alivyowakosesha ubingwa 2014. Gerrard alivyoteleza na Demba Ba akaweka kitu wavuni. ilikua mnaongoza ligi lakini baada ya kipigo hicho mkapotea mazimaLiverpool tunamkumbuka Morinho, kwa kufukuzwa Chelsea, sidhani kama kuna kingine cha sisi kumkumbuka
Ni ushabiki tu na siyo uhalisia unaoweza kumfanya shabiki wa Liverpool aseme hamkumbuki Mou kwa tukio lile.Ha haaa. umesahau alivyowakosesha ubingwa 2014. Gerrard alivyoteleza na Demba Ba akaweka kitu wavuni. ilikua mnaongoza ligi lakini baada ya kipigo hicho mkapotea mazima
Sasa hapo wakukumbukwa ni nani kati ya Gerrard na Mourinho, hebu weka uhusiano wa Morinho na kuteleza kwa Gerrard. Kwan mourinho ndo aliteleza nimkumbuke? Bora ungesema Demba Ba.Ha haaa. umesahau alivyowakosesha ubingwa 2014. Gerrard alivyoteleza na Demba Ba akaweka kitu wavuni. ilikua mnaongoza ligi lakini baada ya kipigo hicho mkapotea mazima
Kwan mkuu lile tukio alifanya Mourihno au Gerald, hebu kuwa serous nduguNi ushabiki tu na siyo uhalisia unaoweza kumfanya shabiki wa Liverpool aseme hamkumbuki Mou kwa tukio lile.
Uhusiano ni kuwa Mourinho alitibua harakati za ubingwa za Liverpool. To make things worse Gerrard aliwazawadia bao Chelsea la ubwerereSasa hapo wakukumbukwa ni nani kati ya Gerrard na Mourinho, hebu weka uhusiano wa Morinho na kuteleza kwa Gerrard. Kwan mourinho ndo aliteleza nimkumbuke? Bora ungesema Demba Ba.