If you know it, you know it—Google Developer 🙌🏾

dgombusi

Senior Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
141
Reaction score
200
Google Developers wamekuja na ubunifu wa kipekee!
Mtumiaji anapotafuta Squid Game Season 2 kwenye ukurasa wa kutafuta,

kuna pop-up ya ile business card iliyotumika kwenye Squid Game Movie.

Mtumiaji anapobofya, inafungua game la kwanza kutoka kwenye Squid Game movie.

Hii ni njia ya ubunifu ya kuunganisha entertainment movie iliyo trend sana,

na kumuwezesha user kuweza (interact) na kucheza game hiyo anapokuwa akitafuta kujua kuna episode ngapi hiyo season 2.


 
sio njama ya netflix kweli?
Hapana, hii si njama ya Netflix bali ni ubunifu wa Google Developer wanaojua jinsi ya kutumia mbinu za kisasa za masoko zinazolenga mitindo ya sasa (trend marketing).

Wanataka kuhakikisha kuwa mtumiaji anahisi urahisi na ufanisi wa huduma zao,

huku wakijenga taswira ya kuwa Google ndiyo chaguo pekee la kuaminika linapokuja suala la kutafuta taarifa mtandaoni.
 
Kuna entry ukiziweka google wanaletaga ujinga ujinga tu, mfano THE LAST OF US wanakuletea fungus kwenye screen

Hahaha 🤣 yah kweli nimeiona
 

Attachments

  • trim.9ADCFFCF-65F8-4A9A-9CB5-C1D1DD4CAE6A.MOV
    6.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…