kama wewe utatulia nae atatulia msipokwenda sawa basi lazima mtujazie watoto wa barbarani kibao unafikiri walipenda wale kutumwagia maji machafu huku kioo kisafi ???
kama ulishindwa kuelewa heading basi hata kudesa ilikushinda shulen kwa kweli angalia tofauti unipe kati ya ulipofungua ukaelewa na kilichoandikwa hapao juu ....well ntd
sio lugha yetu ila kwa kudesa niko ""A""Mpwa