Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HakikaSisi tunamvika Uzalendo kwa utetezi wake wa rasilimali dhidi ya Majangili yanayotafuna vitumbua ofisi za umma
swadaktaKama hadhi ya ubalozi ni gharama anayopaswa kuilipa kupokea uhuru wake wa kupambania rasilimali za Tanganyika; tunamuunga mkono.
Kadri anavyomvua ndivyo wananchi wanazidi kumvalisha! πSisi tunamvika Uzalendo kwa utetezi wake
Bila shaka , lakini haitaondoa ujuzi wake wa sheria kichwaniKwa namna hii tutegemee na Mwambukusi kuvuliwa uwakili.?
Awali ni awali tuTutaendelea kumwita Balozi Dr. Slaa.
umeona hizo sarakasi !Alphayo Kidata alikuwa balozi kazini (nchini Canada).
Alivuliwa ubalozi na kurejeshwa nyumbani.
Hata hivyo Sept 2019 akateuliwa tena kuwa RAS Mtwara.
Balozi ambae alivuliwa akiwa hayuko kituo cha kazi (amestaafu) miaka ya hivi karibuni ni Prof Costa Mahalu. Alivuliwa na JK
Hata hivyo baada ya kushinda case ya uhujumu uchumi, JPM akamrejeshea hadhi yake ya Ubalozi.
Noma sana ! Zaidi ya "Unanijua mimi nani" hakuna lingineHii inaleta picha gani, aliyevuliwa na mwendazake hangaya kampa kitengo TRA na aliyeveshwa na mwendazake hangaya kamvua, kisa kusemwa kuhusu bandari.