Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnachapwa za makalioni na ISIS Ntwara na bado wapo wanasongelea Magogoni hapo weee mtatia adabuSasa na kipigo bado kutoka kwa wavaa pedo
Hatujawaomba ruhusa wakakataaHebu tujiulize kama KDF inaweza kubaliwa kufanya mazoezi in The Scotish Highlands? Hawa mabeberu wako hapa kulinda mali yao, wanafaa watimuliwe mbio sana. #kickoutwhitearmyoutofafrica
Tumehamia Dodoma hatupo Magogoni tena.Mnachapwa za makalioni na ISIS Ntwara na bado wapo wanasongelea Magogoni hapo weee mtatia adabu
Leo mkuu nakuunga mkono. ukiona wanaweka base zao huku kuna kitu wanakitaka, hawatoagi msaada usio na "return-back a hundred folds"Hebu tujiulize kama KDF inaweza kubaliwa kufanya mazoezi in The Scotish Highlands? Hawa mabeberu wako hapa kulinda mali yao, wanafaa watimuliwe mbio sana. #kickoutwhitearmyoutofafrica
Usiwe na akili za kushikiwa wewe. Bado unaendeleza mentality za kikoloni.unaona ni Haki kabisa mwingireza kukaa hapo Kenya kuliko wewe mkenya kwenda kujenga hiyo military camp huko kwao. Futa ujinga kataa kuwa mtumwa wa mzungu.Hatujawaomba ruhusa wakakataa
Plus it's expensive btw can you afford your military training there?
Ama unafikiri ni Kama kucheza katii ama boli ?
[emoji1787][emoji38][emoji16]
Open your eyes My Friend, They could have chosen Australia which also has Tropical Climate similar to that of Kenya, wangeenda huko Queensland ama Outback wakafanye hizo upuzi zao.Hatujawaomba ruhusa wakakataa
Plus it's expensive btw can you afford your military training there?
Ama unafikiri ni Kama kucheza katii ama boli ?
![]()
![]()
![]()
Mnachapwa za makalioni na ISIS Ntwara na bado wapo wanasongelea Magogoni hapo weee mtatia adabu
Alafu mbona ile military training college yenyu wachina waliitolea hela na kuanza kuwajengea? Hivi mnawaamini wachina na resources za kijeshi? Pumba sana! 😂Usiwe na akili za kushikiwa wewe. Bado unaendeleza mentality za kikoloni.unaona ni Haki kabisa mwingireza kukaa hapo Kenya kuliko wewe mkenya kwenda kujenga hiyo military camp huko kwao. Futa ujinga kataa kuwa mtumwa wa mzungu.