#COVID19 Ifahamu chanjo ya Johnson & Johnson

Mbona nchi zingine hiyo j&j hawaitumi.

Imeonekana haina ubora.

Ova
Hiyo ata mimi inanipa mashaka maana ina ubora wa 66.3% sasa hizo asilimia zilizobaki ni juu ya mchanjwaji.
Mimi kwakweli tachanja mbuga tu πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…