Ifahamu Diplomatic Passport (Pasipoti ya Kidiplomasia)

Watu matahira kama nyie huwa hamfi haraka
 
No.2 Service Passport...ni ya Rangi gani??
Kuna jambo nataka kujiridhisha 😊
 
Watu matahira kama nyie huwa hamfi haraka
Tazama,
Hii passport ninayo hapa niliyotaka kuibadili.
Huyu anamwandikia kimemo mwenzake;
Tyetyetye( nadhani hilo ni jina la mtu,huyu mtu labda ni Mxhosa kutoka Afrika Kusini))
P)s assist.
Msikilize huyu halafu uone mwenyewe.( Yaani msikilize huyu,halafu uamue arbitrarily,vyovyote unavyopenda, yaani,hakuna kanuni, yaani huyu comrade wake anaweza kuamua anavyotaka).
Halafu it is signed
Palmer.( Sasa huyu sijui anaweza vipi kuitwa "Palmer", hili ni jina la Kizungu.)
7/2/19.
Kwa hiyo msg ni,
Tyetyetye,
Please assist
Msikilize huyu halafu amua mwenyewe
Palmer
7)2/19.
 
Aiseee. Pole, kile kilikuwa kipindi kibaya sana . Maisha ya wengi yaliharibiwa. Asante mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…