Ifahamu hifadhi ya Ngorongoro

Ifahamu hifadhi ya Ngorongoro

Ryan Herman

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
42
Reaction score
46
Hifadhi ya Ngorongoro kwa Kiingereza: "Ngorongoro Conservation Area" ni hifadhi ya taifa kaskazini mwa Tanzania inayojulikana kote duniani, hasa baada ya kuorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia

Kiini chake ni eneo la kasoko kubwa lenye umbali wa takriban kilomita 180 kutoka Arusha

Kuna jumla ya wanyamapori wakubwa takriban 25,000, wakiwa pamoja na vifaru, viboko, nyumbu, pundamilia, nyati, simba, fisina chui

Bidii kubwa zaidi ya kulinda wanyama aina ya vifaru zinahitajika haraka kwa sababu idadi ya wanyama hao inazidi kupungua

Mabaki ya zamadamu katika Olduvai Gorgeyanaonyesha kwamba wanyama hao waliokoma walikuweko tangu miaka milioni 3 iliyopita

Mwaka 1979 Ngorongoro ilipokewa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO upande wa uasilia

Katika sekta ya utalii, ambayo nchi kama nchi huitegemea kwa kiasi fulani, ni muhimu serikali iandae miundombinu, hasa barabara zenye ubora wa hali ya juu, ili zitumike kwa muda mrefu na kuboresha sekta nyingine
 
Huyu yaonesha ni mara yake ya kwanza kufika
Ni mwanafunzi yupo field,tumuache aandike report yake
 
Back
Top Bottom