Ifahamu Hifadhi ya Taifa Burigi

Hii BURIGI ipo katka wilaya ya Karagwe,Muleba na ng'ara na ina ukubwa wa eneo 2941
 
Bila shaka utakuwa umetumwa kuleta utetezi baada ya watu kushangaa Twiga wakiamishwa serengeti kupelekwa Burigi.

Sina tatizo na utetezi wako ila naomba uniweke sawa je hifadhi ya burigi ipo Kagera au Chato?
 
Wewe ulioona Chato ni "umimi" ndio mbinafsi na Mpumbavu mkubwa, Chato ipo hata kabla ya Magufuli kufikiriwa kuzaliwa na jina Chato halina uhusiano wowote na Magufuli na kama upo huo uhusiano basi ni ule ambao kila mkaazi wa Chato anao regardless eneo analotoka.
 
Mpumbavu mwenyewe na ukoo wako mxiieeeeeew
 
Nimepita juzi mule aisee.sasa hiv hakuna hofu ya kutekwa kama Zamani.

Zamani mabasi yalitekwa Sana mule na kuna basi Fulani walivuliwa nguo kabisa.
 
Mpumbavu mwenyewe na ukoo wako mxiieeeeeew
Hopeless hutakuwa na la kuibadili branding ya hii National Park, wewe endelea kuumia tu ikiwezekana ufe unapoona magari ya rangers yenye logo za Burigi-Chato NP kwa kijiba cha roho.

Waafrika kama ni wivu wa kipumbavu na roho mbaya kwa minor things Ingekuwa mtaji tungefika mbali, chuki za mtu binafsi tunaziextend mpaka kwa Majirani na wanyama, asshole
 
Saiv ni msitu mnene, nakumbuka nilikuwa naweza kusimama katikati ya pori peke yangu bila kuhofia mnyama yeyote mkali lakini saiv katie mguu uone
Nimepita juzi mule aisee.sasa hiv hakuna hofu ya kutekwa kama Zamani.

Zamani mabasi yalitekwa Sana mule na kuna basi Fulani walivuliwa nguo kabisa.
 
Bila shaka utakuwa umetumwa kuleta utetezi baada ya watu kushangaa Twiga wakiamishwa serengeti kupelekwa Burigi.

Sina tatizo na utetezi wako ila naomba uniweke sawa je hifadhi ya burigi ipo Kagera au Chato?
Ipo kagera tena mbali Sana na chato.
 
Hapa sasa umekuwa na adabu sio kutukana tukana ovyo tu

Sawa nimekusikia mpwa wake na magufuli
 
Hiv wew bandari kuu ipo dar na mtu anakuja nakuiita morogoro port.hiv hii kitu ni Sawa?

Ndo yanayotokea . burigi ipo huko muleba kagera lakini inaitwa chato iliyopo geita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…