Ifahamu Hifadhi ya Taifa Burigi

Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology"

Naomba ufafanuzi wa hilo hapo juu mkuu, Nakumbuka sana maelezo ya mwalimu wangu wa geograpy maana halaisi ya neno Ecology.......relationships between plants, animals, people, and their environment, and the balances between these relationships.
 
shida nini mzee au mwajuana?
 
Hiv wew bandari kuu ipo dar na mtu anakuja nakuiita morogoro port.hiv hii kitu ni Sawa?

Ndo yanayotokea . burigi ipo huko muleba kagera lakini inaitwa chato iliyopo geita
Unajua maana ya hii {-} kwenye brackets? Hii National Park inajumuisha kuanzia Chato Bay, parts of Rubondo, Biharamulo game reserves na Burigi Lake kwa hiyo ni muhimu kumewekwa hivyo sababu ya uhalisia wa eneo zima

Ingeitwa Burigi pekee kuna misunderstandings zingetokea sababu wengi wanajua Burigi ni kaeneo kadogo tu kuanzia check point ya njia panda ya kwenda Chato kama unatokea Muleba mpaka Biharamulo.
 
Yaani mlima Kilimanjaro upo Kilimanjaro wew unauita mlima mwanza hiv inaingia akilini?
Huna ulijualo kwenye mambo ya NP, game reserves, reserves, ukiangalia Serengeti ni neno la kimaasai means {endless plains} lakini Serengeti pia ni wilaya huko Mara ambapo sio umasaini na ipo mkoa tofauti na kabila la wamaasai, sasa ukija na dhana ya majina kuna majina mengi yanatakiwa kubadilishwa japo hii ya Burigi-Chato NP kuna mambo ya msingi yamezingatiwa mpaka limefika hapo, sababu tu ya chuki za kijinga watu wamekurupuka na feelings na emotions badala ya kufanya simple research.
 
Labda kama na vijiji vya kimwani.na biharamulo vitakuwa sehemu ya hifadhi.

Ila hifadhii hiyo ipo kagera na wala haigusi chato
 
Bora ungebaki Jalalani!!?
 
.... Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology" lengo likiwa ni kuwaepusha baadhi ya wanyama kupata madhara ya kimazingira katika maeneo waliokuwepo na pia lengo lingine ni kupandikiza aina mbalimbali nyingine za wanyama katika Hifadhi ili kuongeza vivutio ambavyo ni muhimu kwa Watalii wa ndani na nje kuja katika Hifadhi hizo kuona...... Si kweli kwamba kuhamisha wanyama ni mbinu ya kiikolojia, sababu kuu ni ku introduce hiyo species kwenye hayo mapori maana hayana hao wanyama. Huwezi kusema unamtoa mnyama kwenye ikolojia yake ya asili na kumpeleka sehemu mpya kama mkakati wa kumfanya asife. Ninachokiona mnatumia nguvu nyingi kuongeza ubora na biodiversity ya hizo mbuga mpya maana naturally haina wanyamapori wengi. Ingawa jambo hili ni jema but it's going to cost you more than you think.
 
Hayo ni mapori na miti mikubwa. Sijui itakuwaje hata kupita na gari katikati ni ngumu sana kwani ni mawe na milima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…