Ifahamu Hifadhi ya Taifa Burigi

Mwaka 2018 serikali ilipaandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yaalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa Burigi-Chato. Huku Ibanda na Rumanyika kila moja ikijitegemea. Hifadhi hizo zinapakana na vijiji 58 vilivyoko Wilaya Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara Mkoani Kagera pamoja na Wilaya ya Chato Mkoani Geita.
 
Hawa wanyarwanda walikuwa wanaish humo mbugani ama?
 
Wanyarwanda walijaa sana ndani ya hayo mapori nimepita mwaka Jana badhi ya maeneo naona hawapo sikuizi wale jamaa walikua washenzi sana full dhalau.
 
Inaendeleaja hii hifadhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…