Ifahamu hii kuhusu baadhi ya makabila ya Nepal

Ifahamu hii kuhusu baadhi ya makabila ya Nepal

Echazzy

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
65
Reaction score
67
Baadhi ya makabila ya Nepal huko kwenye milima ya Himalaya, na baadhi ya maeneo ya India kwenye jamii ya Wahindu wana utamaduni ambao mwanamke huolewa na ndugu wote wa kiume wa familia moja hata wakiwa 10 au 20.

Mwanamke mmoja wa India Rajo Verma ambaye anaishi kwenye utamaduni huo, ameolewa na wanaume watano ambao ni ndugu wa tumbo moja, Sant Ram Verma (28) Bajju Verma (32) Gopal Verma (26) Guddu Verma (21) and Dinesh Verma (19) na wote huishi nao nyumba moja, na hulala nao chumba kimoja na sehemu moja, isipokuwa kwenye suala la tendo la ndoa huwa wanapokezana kwa siku moja moja.

Mwanamke huyo hutimiza majukumu yake kama mke kwa waume zake wote watano, bila kupendelea, huku wenyewe wanaume wakisema hawana wivu.



ab4a20b69e6494df3814b5ff7c7fbd19.jpg
930e38ba95882f0a2ea7d1b9b6774890.jpg
023c876bcbbd5c661c2d24503921a970.jpg
5f863243a0e447fe05f37fe539f7d7f9.jpg
 
Shida Ni Nyingi Sana Duniani
Hamida Hamida Hamida Anakwenda Huko
 
Back
Top Bottom