Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Jul 14, 2024 #1 Your browser is not able to display this video.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jul 14, 2024 #2 Ahaa kumbe tiss imetokana na polisi. Ndio maana wale wakuu wa vyombo vya usalama wakikaa huwa wanaanza JW, Polisi halafu Tiss na wengine. Sasa nimeelewa.
Ahaa kumbe tiss imetokana na polisi. Ndio maana wale wakuu wa vyombo vya usalama wakikaa huwa wanaanza JW, Polisi halafu Tiss na wengine. Sasa nimeelewa.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 14, 2024 #3 Sawa
Mzee Saliboko JF-Expert Member Joined Jan 29, 2018 Posts 1,311 Reaction score 1,018 Jul 14, 2024 #4 Sasa hivi si ndo mali ya raisi
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Jul 14, 2024 #5 Stroke said: Ahaa kumbe tiss imetokana na polisi. Ndio maana wale wakuu wa vyombo vya usalama wakikaa huwa wanaanza JW, Polisi halafu Tiss na wengine. Sasa nimeelewa. Click to expand... Wengi hawalifahamu hili
Stroke said: Ahaa kumbe tiss imetokana na polisi. Ndio maana wale wakuu wa vyombo vya usalama wakikaa huwa wanaanza JW, Polisi halafu Tiss na wengine. Sasa nimeelewa. Click to expand... Wengi hawalifahamu hili
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jul 14, 2024 #6 Ungewataja kwa majina hao DGIS kwa mtiririko.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 13,864 Reaction score 35,079 Jul 14, 2024 #7 Hapo waliofanya makubwa ni mzena mahiga na msuya
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 14, 2024 #8 Hadi CCM Branch