Ifahamu historia ya Wasabato

Hata usiangaike sana Dini ya kwanza inafahamika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha matusi mzee wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point ya tatu ntakujibu kupitia mathayo 19;12 sio kosa kwa maaskofu wasio oe sababu kabla hujawa padri unaambiwa vigezo na masharti, point ya kwanza na pili Sina majibu
 
Kaisari yuko shallow sana. Hakuna mtu au mnyama anaeitwa Hellen .G.White. Huyu jamaa anakwama wapi?
 
Wewe ni mkatoliki, unaonyesha chuki za wazi kwa wasabato, hebu waache kwa wanachoamini ... Hata wewe amini unachoamini.. usijaribu kuaminisha na wengine unachokiamini!!
 
Imani ya mtu ipo ndani ya nafsi yake yeye mwenyewe, au ninaweza kusema kuwa ni roho yake pekee ndio inafahamu inaamini nini. Na ikumbukwe imani ya kweli ni maisha, dini ni maisha. Kwamba jinsi unavyoishi na unavyotenda na unayoyasema ndio unayoyaamini, na kama ni sawa ama si sawa ni wewe ndiye utakayewajibika katika kuyasemea hayo. Lakini sio vizuri kuhukumu kwa kadiri ya matendo na maisha ya mwenzako, kazi tuliyonayo ni kujichunguza sisi wenyewe kwa nafasi zetu ndani ya nafsi na mioyo yetu, kwa maana hatma yetu ipo mikononi mwetu sisi wenyewe.
 
Nakupongeza Kwa kujitahidi kuutetea ukatoliki japo umetumia njia ya upotoshaji saana kuliko ukweli wenyewe.

Yapo mengi ila naanza na hili,kisha nitarudi tena;

1. Ndugu zangu, hadi hapa umeshagundua mafundisho ya uongo. Mbinguni hakuna hekalu. Huo ndio ukweli wa kibiblia maana mwandishi wa kitabu cha Ufunuo anatuandikia habari za maono yake matakatifu mintarafu Yerusalemu ya mbinguni akisema “Nami sikuona hekalu ndani yake, kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwanakondoo, ndio hekalu lake” (Ufu 21:22). Sasa iweje Bw. Hiram Edson amzungumzie Yesu anayetoka patakatifu kuingia patakatifu pa patakatifu?

-Je Una hakika ufunuo 21:22 inafafanua kutokuwa na hekalu mbinguni au ndani mji mtakatifu Yerusalemu makao ya watakatifu?

-Kama ni mbinguni (kama ulivyosema) hizi aya unajua nazo ziko ndani ya kitabu hicho cha ufunuo? Na je zenyewe hukuziona au kuzisoma? Au uliziruka ili kutimiza azima yako? Au zinamaanisha hekalu gani?

•Na baada ya hayo nikaona, na hekalu la hema ya ushuhuda mbinguni lilifunguliwa;
Ufunuo wa Yohana 15:5

• na wale malaika saba, wenye mapigo saba, wakatoka katika hekalu, wamevikwa mavazi ya kitani safi, ya kung'aa, wamefungwa vifuani mwao mishipi ya dhahabu.
Ufunuo wa Yohana 15:6

•Hekalu likajazwa moshi uliotoka kwenye utukufu wa Mungu na uweza wake. Wala hapakuwa na mtu aliyeweza kuingia ndani ya hekalu, hata yatimizwe mapigo saba ya wale malaika saba.
Ufunuo wa Yohana 15:8

Jibu hili narudi tena.
 
Nakupongeza Kwa kujitahidi kuutetea ukatoliki japo umetumia njia ya upotoshaji saana kuliko ukweli wenyewe.

Yapo mengi ila naanza na hili,kisha nitarudi tena;

1. Ndugu zangu, hadi hapa umeshagundua mafundisho ya uongo. Mbinguni hakuna hekalu. Huo ndio ukweli wa kibiblia maana mwandishi wa kitabu cha Ufunuo anatuandikia habari za maono yake matakatifu mintarafu Yerusalemu ya mbinguni akisema “Nami sikuona hekalu ndani yake, kwa maana Bwana Mungu Mwenyezi na Mwanakondoo, ndio hekalu lake” (Ufu 21:22). Sasa iweje Bw. Hiram Edson amzungumzie Yesu anayetoka patakatifu kuingia patakatifu pa patakatifu?

-Je Una hakika ufunuo 21:22 inafafanua kutokuwa na hekalu mbinguni au ndani mji mtakatifu Yerusalemu makao ya watakatifu?

-Kama ni mbinguni (kama ulivyosema) hizi aya unajua nazo ziko ndani ya kitabu hicho cha ufunuo? Na je zenyewe hukuziona au kuzisoma? Au uliziruka ili kutimiza azima yako? Au zinamaanisha hekalu gani?

•Na baada ya hayo nikaona, na hekalu la hema ya ushuhuda mbinguni lilifunguliwa;
Ufunuo wa Yohana 15:5

• na wale malaika saba, wenye mapigo saba, wakatoka katika hekalu, wamevikwa mavazi ya kitani safi, ya kung'aa, wamefungwa vifuani mwao mishipi ya dhahabu.
Ufunuo wa Yohana 15:6

•Hekalu likajazwa moshi uliotoka kwenye utukufu wa Mungu na uweza wake. Wala hapakuwa na mtu aliyeweza kuingia ndani ya hekalu, hata yatimizwe mapigo saba ya wale malaika saba.
Ufunuo wa Yohana 15:8

Jibu hili narudi tena.
 

Hiyo ni link ya critics wa egw.

Wanatoa taarifa muhimu, kuhusu baadhi ya visions za egw, hususan za huko mwanzoni.

Alikuwa anasema anaona vision, kumbe alikuwa anatoa maoni yake, kutokana na uelewa wake, wa jinsi alivyojifunza kuhusu jambo fulani.

Ila hawa critics, kuna mahali pengine wanaharibu, kwa kukataa mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama sabato ya siku ya saba). Ingawa kuna mahali pengine wanapatia, kwa kuunga mkono mafundisho ya kweli ya kibiblia (kama Utatu Mtakatifu).

Hawa critics pia inaonekana walikuwa ni opportunists.

Mapungufu ya mafundisho ya kanisa la sda ni haya:

1) Shetani na malaika zake hawa kuanguka kabla ya wiki ya uumbaji. Kwa sababu malaika wote (including Lucifer, ambae baadae ali muasi Mungu) waliumbwa siku ya pili ya wiki ya uumbaji.

2) Hakuna viumbe wengine kama binadamu kwenye sayari nyingine (kama sda wengi wanavyo fundisha).

3) "The Day of Atonement" ni tofauti na "the Day of Judgment". New tastement fulfilment of the Day of Atonement inaanza baada ya kufufuka na kupaa kwa Bwana Yesu, na inaisha at the end of probation period (karibia kabisa na ujio wake wapili).

Sanctuary linalokuwa cleansed in 1844, ni kanisa huku duniani. Mafundisho ya kweli (including the 10 commandments, and the seventh day sabbath) yanarudi kanisani, na mafundisho ya uongo yanaondolewa.

4) Wabatize kwa staili waliyoitumia mitume wa Yesu, mtu ana inama kidogo kwa mbele, huku amesimama, huku akidumbukia kabisa kwenye maji. Wasibatize kwa staili ya mtu kalala kwa mgongo, wana mshika na kumdumbukiza kwenye maji.

5) Wasi wapinge sda wenzao, wanao sema kwamba Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles. Kwa sababu kiukweli Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

6) Wakubali kwamba hawa hodhi ukanisa wa kweli, na kwamba endapo kuna wasabato wanaofuata biblia ambao sio sda, wasabato hao hawana tatizo.

7) Waumini wa sda wawe pia na tabia nzuri kwenye maisha yao.

8) Baadhi ya mafundisho ya mama Ellen White ni maoni yake, na sio vitu alivyo viona kwenye maono (visions). Kwa hiyo baadhi ya mafundisho yake yanaweza yasiwe sahihi. Of course mama Ellen White yuko sahihi kwenye mafundisho yake mengi.

9) Ni vizuri wakristo weusi wakajua prophesies mbali mbali za kwenye Biblia, zinazo ongelea kuhusu injili kuja Afrika. Wakristo weusi, tu avoid a white/Eurocentric view of the bible, na tuwe na a true view of the Bible, which is a biblical centric view of the bible. Wakristo weusi tujaribu pia kuwa na makanisa huru yanayojitegemea (tushirikiane na watu wengine, lakini tusiwe tegemezi kwa watu wengine).

Sda wako sahihi kabisa kabisa kabisa kwamba sabato ni siku ya saba (Jumamosi), na kwamba Bwana Yesu Kristo hakubadilisha siku ya sabato. Na kwamba mpinga Kristo ndiye aliebadilisha siku ya sabato kutoka siku ya saba kwenda siku ya kwanza ya wiki.

Moral of the story ni: Mkristo yeyote anatakiwa kusikiliza mafundisho yanayoendana na biblia, usisikilize mafundisho ambayo hayafuati mafundisho ya biblia (hata kama ni mafundisho ya dhehebu lako).

So injili ya kweli, ni kwamba Utatu Mtakatifu upo, amri 10 zipo (hazikubadilishwa), sabato ni siku ya saba (Jumamosi), tufuate mafundisho ya Bwana Yesu Kristo kama Biblia inavyosema, na Biblia ni kitabu kitakatifu cha YAHWEH (Mungu wa Biblia). Ukristo ndio dini ya ukweli, dini nyingine zote ni za uongo.

Any way tuendelee na shughuli zetu za maisha hadi siku ya mwisho ya dunia, wakati huo huo tukiendelea kumkumbuka Bwana Yesu Kristo hadi siku hiyo atakapo rudi.

 
The 1844 AD date, as the end of the 2,300 years mentioned in the book of Daniel is a wrong date.

The accurate date (of the end of the 2,300 years) is 1798 AD.

And whatever the accurate date is, 'unto 2,300 days then shall the sanctuary be cleansed', means, after 2,300 days, have passed, the church in the earth shall then be cleansed from the errors of the little horn that polluted the sanctuary of strength (that polluted the church).

The beginning dates of the 70 weeks prophecy (490 years prophecy) and the 2,300 days prophecy (2,300 years prophecy), mentioned in the book of Daniel, are not the same, they are different.

The years, 2,300, 1335, 1,290 and 1,260, all end on 1798 AD. But they all begin on different years.


503 BC + 2300 + 1 (as there is no 0 BC or 0 AD) = 1798 AD

Unto 2,300 years, then shall the sanctuary be cleansed (the church in earth shall be cleansed from the pollutions of the little horn).

The 2,300 days (2,300 years) prophecy (of the book of daniel) begins at 503 BC, this is 16 years after the decree of Darius in 519 BC. This is also 34 years after the decree of Cyrus in 537 BC.

503 BC is also 12 years after the Jews finished building the temple in 515 BC.

503 BC is also 499 years before the birth of the Lord Jesus Christ. The Lord Jesus Christ was born in 4 BC.

The 2,300 years begins in 503 BC and ends in 1798 AD.

In 503 BC, Darius (via his cousin Artaphernes, who was the Persian empire's governor of Ionia) sent 200 ships to attack Naxos. He cooperates with Aristagoras, the Melesian, the governor of Meletus.

In 502 BC, Aristagoras the Melesian, rebels against Darius.

According to Ussher's "The Annals of the World", this is the beginning of the conflict between the Persians and the Greeks, that eventually led to the destruction of the Persian empire.


Daniel's 70 week prophecy (490 year prophecy) starts at 457 BC, with the decree of king Artaxerxes to Ezra. And ends in 34 AD, with the stoning of Stephen.

The 2,300 years end in
1798 AD. After 1798 AD, the church in the earth shall be cleansed from the pollutions of the little horn.

The little horn which polluted the sanctuary of strength, meaning it polluted the church in the earth, and thought to change the times and the laws, and took away the perpetual covenant, and set up the abomination that maketh desolate.

The church in the earth shall be cleansed from the religious errors of the papacy. It shall also be clear to the church in the earth that the seventh day is the legitimate sabbath day, and not the first day of the week.

And that the 10 commandments were not changed even in the new testament era. The seventh day starts from sunset Friday and ends at sunset Saturday. Sunday is not the sabbath day.

Also the papal states were abolished (by the French empire of Napoleon) in 1809 AD, and the temporal power of the pope was abolished in 1809 AD.

433 AD + 30 + 1335 = 1798 AD

463 AD + 1335 = 1798 AD

433 AD, Sixtus III was pope. He supported the decision of the first council of Ephesus (which ended in July 431). The council declared that 'the virgin Mary is the mother of God'.

After 30 years

463 AD, Hilarius was pope, he continued the policy of his successor pope Leo I, of enhancing the primacy of the bishop of Rome within the church.

When Leo I was pope, he claimed to be the bishop of the universal church, that is the bishop of the entire church in the world, the primacy of the bishop of rome within the church is enhanced).

508 AD + 30 years = 538 AD

538 AD + 1260 years = 1798 AD

The 1335 years start at 463 AD and ends in 1798 AD.

1335 may reflect redemption. The redemption money was 1365 shekels (Numbers 3:49-51).

433 AD is 1365 years before 1798 AD.


1365 years are not directly mentioned in the book of Daniel, but they show that there will be redemption after they have ended. 1365 shekels was the redemption money in the book of numbers. 30 + 1335 = 1365. 1335 days (1335 years) are directly mentioned in the book of Daniel.



475/476 AD (the collapse of the Western Roman empire into 10 kingdoms, 10 horns).

33 years later

508 AD (Symmachus was pope, the primacy of the papacy in temporal affairs enhanced, Clovis' baptism, Clovis defeats Alarac).

30 years later

538 AD (Vigilius was pope, begins the 1,260 years of papal supremacy).

1,260 years later

1798 ad (the 1,260 years of papal supremacy end, with the capture of the pope, by the French general Berthier, the papacy receives a deadly wound).


The papal wound starts to heal consistently from 1929, until today.

Thus the 1844 AD date, as the end of the 2,300 years mentioned in the book of Daniel is a wrong date.

The accurate date (of the end of the 2,300 years) may be 1798 AD.

And, 'unto 2,300 days then shall the sanctuary be cleansed', means, after 2,300 years have passed, the church in the earth shall then be cleansed from the errors of the little horn that polluted the sanctuary of strength (that is, that polluted the church).

It did not mean the end of the world.

It did not mean the beginning of the 'investigative judgment'.

And it did not mean the Lord Jesus Christ moving into the most holy place in heaven.

The Lord Jesus Christ moved into the most holy place in heaven, after his ressurection and ascension, in 31 AD. AND NOT IN 1844 AD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…