Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,017 Reaction score 16,431 Nov 16, 2020 #1 Hii kampuni inaunda nguo high quality. Tazama
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,483 Reaction score 4,675 Nov 20, 2020 #2 Tayar nmetazama
MK254 JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 32,408 Reaction score 50,809 Nov 20, 2020 #3 Hongera na shukrani za dhati kwa walioamsha hii kampuni, jameni hii kampuni kitambo tukiwa watoto kwenye mji wa Eldoret ndio ilitulea, hiyo pamoja na ile ya Rai Ply ndio zilikua uti wa mgongo wa huo mji, nilihuzunika sana kipindi ilianza kuyumba.
Hongera na shukrani za dhati kwa walioamsha hii kampuni, jameni hii kampuni kitambo tukiwa watoto kwenye mji wa Eldoret ndio ilitulea, hiyo pamoja na ile ya Rai Ply ndio zilikua uti wa mgongo wa huo mji, nilihuzunika sana kipindi ilianza kuyumba.
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Nov 20, 2020 #4 Tanzania tunayo ya kutengeneza kura feki 😔