Ifahamu Movie Ambayo Imepangwa Kutoka 2115, Mimi, wewe na Watoto wetu na wajukuu Hatutoiona

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.

Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii inajulikana kama "The Movie you will never see".
1000035131.jpg

Ikitabiri namna ambayo dunia itakavyokuwa miaka 100 ijayo mpaka ifikapo 2115

Dunia ina mambo bhana 🤣🤣 watu wana Age movie sasa.
 
Mbona 2115 wajukuu watakuepo

Hebu fikiria mtoto alitakayezaliwa mwaka 2030 ikifika 2060 atakua na miaka 30 Tu hivo akizaa huo mwaka Hadi 2115 mtoto wake (mjukuu wako) atakua na miaka 75.. ataiona hiyo movie
 
View attachment 3042332

Au ni mimi
downloadfile.jpg
 
Usiyoyajua juu ya filamu hii.

1. Filamu imehifadhiwa/imefungwa kwenye sefu yenye kioo cha kuzuia risasi na loki yake itajifungua automatiki itakapofika Novemba 18, 2115

2. Wageni 1,000 kutoka duniani kote, ikiwa ni pamoja na Malkovich na Rodriguez (waigizaji wakuu), wamepokea tiketi mbil mbili za mwaliko zilizotengenezwa kwa chuma kwa onyesho la kwanza la filamu hiyo ambazo wanaweza kuwakabidhi vizazi vyao ili wahudhulie.

3. Filamu hii imekua dedicated kwa Remy Martin, anayetengeneza Cognac (tamka 'konyagi') ya miaka 100.

4. Filamu hii iliuzwa na kamwe haikuoneshwa kwenye kumbi za sinema ila ilikuja kuonyeshwa kwenye private party nchini China mnamo 2015.
 
Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.

Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii inajulikana kama "The Movie you will never see".
View attachment 3042332
Ikitabiri namna ambayo dunia itakavyokuwa miaka 100 ijayo mpaka ifikapo 2115

Dunia ina mambo bhana 🤣🤣 watu wana Age movie sasa.
Hawa ndio wazungu..wnafikilia mbal,wanatengeneza historia kwa mtindo na mishangao kwa watu.
 
Mbona 2115 wajukuu watakuepo

Hebu fikiria mtoto alitakayezaliwa mwaka 2030 ikifika 2060 atakua na miaka 30 Tu hivo akizaa huo mwaka Hadi 2115 mtoto wake (mjukuu wako) atakua na miaka 75.. ataiona hiyo movie
The movie YOU will never see! 🙄
 
Back
Top Bottom