Au ni mimiMuigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.
Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii inajulikana kama "The Movie you will never see".
View attachment 3042332
Ikitabiri namna ambayo dunia itakavyokuwa miaka 100 ijayo mpaka ifikapo 2115
Dunia ina mambo bhana 🤣🤣 watu wana Age movie sasa.
Hawa ndio wazungu..wnafikilia mbal,wanatengeneza historia kwa mtindo na mishangao kwa watu.Muigizaji maarufu John Malkovic, ameigiza kama Nyota katika Movie inayoitwa 100 Years.
Imetengenezwa mwaka 2015 ambapo inatarajiwa kutoka November mwaka 2115. Kwajina lingine movie hii inajulikana kama "The Movie you will never see".
View attachment 3042332
Ikitabiri namna ambayo dunia itakavyokuwa miaka 100 ijayo mpaka ifikapo 2115
Dunia ina mambo bhana 🤣🤣 watu wana Age movie sasa.
The movie YOU will never see! 🙄Mbona 2115 wajukuu watakuepo
Hebu fikiria mtoto alitakayezaliwa mwaka 2030 ikifika 2060 atakua na miaka 30 Tu hivo akizaa huo mwaka Hadi 2115 mtoto wake (mjukuu wako) atakua na miaka 75.. ataiona hiyo movie